DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
- Thread starter
- #21
Daah kuna majitu yana Roho mbaya mnoHapa ndo huwa siyaelewi mavibaka ya Tanganyika, hayana akili, hapo yakiulizwa baada ya kuanguka kwanini hamkuchukua pikipiki mkaondoka badala yake mkamkata mapanga unaweza usiamini yatakachojibu kama ni akili ya binadamu au mnyama.