KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Watu hawaelewiIkiwa haijakukuta unaona ni sawa tu ila likkukuta unatamani ulipe kisasi kwa kila jamabzi utakayekutana naye
Mtoto miaka 2, mwanamke u25
Mwamba hajaenda kuiba cha mtu halafu wapuuz fulani tu wanamuondoa?
Inaniuma utadhani namfahamu
Basi bhana