DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
- Thread starter
- #81
AminPole sana Mkuu, Mwenyenzi Mungu awafariji nyote
AminPole sana Mkuu, Mwenyenzi Mungu awafariji nyote
hili ni Muhimu sanapole sana mkuu
Japo wanasema ajali hubeba hadi mwenye tahadhari lakini Dar hadi rombo kwa bike ni hatari. Tukiwa vijiweni tukumbushane kuchukua tahadhari
inauma sana tunazikana tukiwa wadogo nikima ajali za pikipiki zimezoeleka lakini haziondoi uhalisia na maumivu ya kumkosa mtu daimahili ni Muhimu sana
Kuna jinsi watu hawajali kuhusu Maisha yao kabisa wanawaza tu kufika. ila wizi wa Pikipiki unatulia kwa mufda alafu ghafla wanaibuka tenainauma sana tunazikana tukiwa wadogo nikima ajali za pikipiki zimezoeleka lakini haziondoi uhalisia na maumivu ya kumkosa mtu daima
yani chini ya miaka 25 niwengi wanaondoka na ajali za hizi pikipiki.
Uporaji kunakipindi ulipungua ila kwasasa sijui huu wakuuwa umeanzaje tena, kuna wengine wanatumia dawa wanakupulizia unalala ukiamka ndoushai
Kweli kabisa sijui watu wana ujasiri gani Mimi kutoka Kariakoo hadi mbezi tu naogopaApumzike kwa amani...
Kusafiri kwa bodaboda umbali mrefu hivyo barabara kuu hata kama ni mchana ni kuhatarisha maisha...
Mbona kama Macho kacheza huu mchezo,kua huo waya ulikua unasubiri PIKIPIKI yao tu?Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama.
Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu mwaka 2022 na akaanza biashara yake ya duka la mangi. Biashara ilimwendea vizuri sana hadi akanunua pikipiki yake mpya mwezi mmoja uliopita.
Hivi majuzi alisafiri na pikipiki yake pamoja na rafiki yake anayeitwa Macho. Walianza safari kutoka Dar kwenda Rombo. Safari ilikuwa inaendelea vizuri hadi walipoingia Mkoa wa Kilimanjaro usiku wa manane. Kumbe njiani kulikuwa na sehemu majambazi waliweka waya barabarani. Inasemekana walikuwa kwenye mwendo wa kasi, wakakunasa kwenye huo waya na kuanguka vibaya sana. Helmet yake ilipasuka na kichwa kikapata majeraha makubwa pamoja na sehemu nyingine za mwili.
Bila huruma, majambazi wakamshambulia kwa mapanga kisha wakachukua pikipiki yake na begi lake ambalo lilikuwa na kadi ya pikipiki, fedha na vitu vingine kadhaa.
Aliwahishwa katika Hospitali ya Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC). Madaktari walijitahidi kupambana kuokoa maisha yake, lakini usiku wa kuamkia leo alifariki dunia.
Taarifa hii imeniumiza sana, hasa ukizingatia kuwa mwaka juzi alioa na tayari ana mtoto mdogo wa takriban miaka miwili. Leo nilipopita kumuona mke wake, nimejikuta nikiishiwa nguvu. Ni binti mdogo sana, hata miaka 25 hajafikisha, sasa anaenda kubeba jukumu la kulea familia peke yake akiwa mjane.
Baraka alikuwa na ndoto kubwa sana maishani. Ndoto zake zimekatishwa kikatili na watu wenye tamaa ya mali ambayo hawakuitafuta kwa jasho lao.
Nitaenda Rombo kumzika rafiki yangu Baraka. Nitaenda hadi Useri kuomboleza pamoja na familia yake. Nimeambiwa Macho hakupata majeraha makubwa, aliumia kidogo tu na tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini.
Majambazi nawachukia sana. Mmeua kijana mdogo mwenye ndoto zake. Bora hata mngemchukulia pikipiki, lakini uhai wake mkamuachia.
swali la Muhimu sanaMbona kama Macho kacheza huu mchezo,kua huo waya ulikua unasubiri PIKIPIKI yao tu?
Kua hio njia vyombo vingine vya usafiri havipiti?
Kua huo waya specific ulikua wa kunasa PIKIPIKI ya baraka tu?
Hapo umeongea,Zote hapo hakuna chuma ya safari, Labda iwe Mpya saana.. lakini kama umekaa nayo Miezi minne tu ukajichanganya kusafiri nayo Lazima kitakulamba. Me nkadhani ni zile BMW kubwa au Honda, Yamaha, Kawasaki, KTM Harley Davidson. Kwa TVS walomuua wana bif tu
Hilo la majambazi wengi kuwa na uraibu wa bangi ni hisia zako tu, hakuna uthibitisho wowoteVibaka wengi ni waraibu wa bangi na mapomhe makali
KweliHilo la majambazi wengi kuwa na uraibu wa bangi ni hisia zako tu, hakuna uthibitisho wowote
Tusiingize bangi kwenye haya mamboHIZO pikipiki NAHISI zinasafirishwa kwenda, kenya haziwezi KUUZWA HAPO MANA watazitafuta TU HIZO huwa zinapelekw kenya nadhani, hao vibaka ni wale vijana wanywa visungura, na kuvuta bangi, CHALI YANGU mdomoni KWA SANA, SIO WATU wazuri, kabisa, ila KUFUNGA WAYA BARABARANI, Ina MAANA hayo maeneo hayana askari wapiga doria? NINGE kuwa FULANI NINGE Anza na askari kwanza, LAZIMA waeleze
yanafikirisha sana mkuu sijajua lengo lake ilikuwa ni niniUmesema kwenye begi alikua na kadi ya pikipiki, why atembee na kadi, poleni sana.
AMINPole sana sana
Na Mungu awape subra wafiwa wote
Hao ni kuwasaka tu then
Two Hours kwa barabara hizi hizi kweli?Hapo umeongea,
Honda Paris-Dakar hapo kwenda Kili ni Masaa mawili tu imefika toka Dar.
Pikipiki inaitwa Boxer,Tvs,yoshugi, hyangui,shingsho michina na unapiga nayo long trip huogopi.
Kawahishwa tu hata asingeweza kurudi nayo
Kifo kikikutaka unakifuata mwenyewe bila shurti, kwanini asafiri na pikipiki, kwanini asafiri usiku?, Anyway poleni na marehemu a rest in peaceHabari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama.
Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu mwaka 2022 na akaanza biashara yake ya duka la mangi. Biashara ilimwendea vizuri sana hadi akanunua pikipiki yake mpya mwezi mmoja uliopita.
Hivi majuzi alisafiri na pikipiki yake pamoja na rafiki yake anayeitwa Macho. Walianza safari kutoka Dar kwenda Rombo. Safari ilikuwa inaendelea vizuri hadi walipoingia Mkoa wa Kilimanjaro usiku wa manane. Kumbe njiani kulikuwa na sehemu majambazi waliweka waya barabarani. Inasemekana walikuwa kwenye mwendo wa kasi, wakakunasa kwenye huo waya na kuanguka vibaya sana. Helmet yake ilipasuka na kichwa kikapata majeraha makubwa pamoja na sehemu nyingine za mwili.
Bila huruma, majambazi wakamshambulia kwa mapanga kisha wakachukua pikipiki yake na begi lake ambalo lilikuwa na kadi ya pikipiki, fedha na vitu vingine kadhaa.
Aliwahishwa katika Hospitali ya Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC). Madaktari walijitahidi kupambana kuokoa maisha yake, lakini usiku wa kuamkia leo alifariki dunia.
Taarifa hii imeniumiza sana, hasa ukizingatia kuwa mwaka juzi alioa na tayari ana mtoto mdogo wa takriban miaka miwili. Leo nilipopita kumuona mke wake, nimejikuta nikiishiwa nguvu. Ni binti mdogo sana, hata miaka 25 hajafikisha, sasa anaenda kubeba jukumu la kulea familia peke yake akiwa mjane.
Baraka alikuwa na ndoto kubwa sana maishani. Ndoto zake zimekatishwa kikatili na watu wenye tamaa ya mali ambayo hawakuitafuta kwa jasho lao.
Nitaenda Rombo kumzika rafiki yangu Baraka. Nitaenda hadi Useri kuomboleza pamoja na familia yake. Nimeambiwa Macho hakupata majeraha makubwa, aliumia kidogo tu na tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini.
Majambazi nawachukia sana. Mmeua kijana mdogo mwenye ndoto zake. Bora hata mngemchukulia pikipiki, lakini uhai wake mkamuachia.
ni vile tu hakuna Formula ya Kifo kila mmoja angekikwepa kwa kila namnaKifo kikikutaka unakifuata mwenyewe bila shurti, kwanini asafiri na pikipiki, kwanini asafiri usiku?, Anyway poleni na marehemu a rest in peace