DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
- Thread starter
-
- #21
Daah kuna majitu yana Roho mbaya mnoHapa ndo huwa siyaelewi mavibaka ya Tanganyika, hayana akili, hapo yakiulizwa baada ya kuanguka kwanini hamkuchukua pikipiki mkaondoka badala yake mkamkata mapanga unaweza usiamini yatakachojibu kama ni akili ya binadamu au mnyama.
Yuko hai maana yeye hakuumia dereva ndio aliuvaa waya yeye inasemekana majambazi hawakudili nayeHuyo rafiki ake macho yuko hai?
shukran mkuuPoleni sana aisee
Kusafiri usiku kwa safari ndefu hivyo kwa pikipiki ni lazima kuna kitu alikua anakitafuta(R.I.P)alishawahi kwenda mara kadhaa kwa mujibu wa watu wake wa Karibu
yes,kwa mujibu wa mleta mada macho alipata majeraha kidogo na ameruhusiwa kutoka hospital.Huyo rafiki ake macho yuko hai?
pole sana mkuu! Huyo bado binti mdogo mno hatakiwi kuwa mjane kabisa. ila pole sana.Tuko msibani Mkuu subiri apone kwanza
MhmhmhYuko hai maana yeye hakuumia dereva ndio aliuvaa waya yeye inasemekana majambazi hawakudili naye
acha mihemko kijana! Alfu saba isikufanye ukaacha kuthamini utu.Pole mwamba
Ndiyo maana huwa nashangaa majambazi yanapokula chuma halafu anajitokeza mbwa mmoja anakaza fuvu eti jambazi asikilizwe, asikilizwe wanyoko
nimeshatafuna mbegu za maboga tangu asubuh nimenuia karibu Nusu saaMhmhmh
Isijekuwa kamchezo anyway
Dili nao traditional, si unampenda rafiki yako?
Sawa mkuunimeshatafuna mbegu za maboga tangu asubuh nimenuia karibu Nusu saa
Ikiwa haijakukuta unaona ni sawa tu ila likkukuta unatamani ulipe kisasi kwa kila jamabzi utakayekutana nayePole mwamba
Ndiyo maana huwa nashangaa majambazi yanapokula chuma halafu anajitokeza mbwa mmoja anakaza fuvu eti jambazi asikilizwe, asikilizwe wanyoko
useri sio Home kwake alikuwa badoo hajafikaPole sana,
waanze na Useri kwanza inaweza kuwa anajua kila kitu.
hili ndio swali Kuu pale msibani Akirudi labda atakuja kusimulia vizuriRafiki yake aliepuka vipi purukushani ya kushambuliwa na hao majambazi mpaka akatoka hai akiwa na michubuko tu??
Anyways poleni kwa msiba ndugu.
Mim sipo kwenye payrol ya ford foundation kupitia yule mange kimambi kama nyieacha mihemko kijana! Alfu saba isikufanye ukaacha kuthamini utu.
Hao vibaka n wale walio-upgrade kutoka kwenye wizi wa ndala za chooni majumbani kwa watu.Hapa ndo huwa siyaelewi mavibaka ya Tanganyika, hayana akili, hapo yakiulizwa baada ya kuanguka kwanini hamkuchukua pikipiki mkaondoka badala yake mkamkata mapanga unaweza usiamini yatakachojibu kama ni akili ya binadamu au mnyama.