Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

Tulivyokua tunakua ndio story hizo ipotezee inaonekana habari za hadithi ya kudunda risasi ujakutana nayo mara nyingi sio kweli ni kunogesha story tu mazee kama movie za Kihindi...
Kuna jombaa moja miaka michache iliyopita aliniambia kuwa anamfahamu mganga ambaye anakuweka dawa hakuna panga wala shaba itakayopenya....

Nikasema, wajinga ndo waliwao
 
Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa.

Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga, hayapigi risasi, yanashusha shoka kichwani kwako.

Ukipiga risasi huwa zinadunda kabisa Kama imepiga chuma. Yanaweza kuteka basi kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa kawaida Askari huwa hawapendi kabisa Kuja kusaidia yanaposikia Warundi Wana show sehemu (huwezi kuwalaumu Askari kwa kweli).

Show nyingi huwa yanapiga mikoa ya Kigoma, Kagera, Geita na maeneo ya Shinyanga.
Mkuu mbona umekurupuka tu ukasahau na kapicha?!
 
Mkuu wewe siyo mtu mzuri kabisaa..yani mbwa wamsalimiee
Jamaa si kaponda bhana wanaume wanafukuzwa na mbwa? Nimempa ruhusa yeye asiyeogopa aje nimpeleke akawape salamu kidogo na hakai muda mwingi dk 2 tu zinatosha, ajitolee aje tu 😂
 
Back
Top Bottom