Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Jamani mimi binafsi ninaposoma baadhi ya mada kwenye hili janvi nashindwa kuelewa kwamba wanaochangia ni Watanzania kweli au majirani zetu hivi kweli mtu mwenye akili timamu na macho yanayoonahawezi kupambanua awamu ya nne ya mafisadi na awamu hii. Ukiacha msururu wa malori ya watoto wao nchi haikuwa na direction yoyote ya maendeleo makubwa. Hata kama miradi ya maendeleo imekwama sio tatizo mradi imeshaanza itamalizwa na atakayekuja Roma haikujengwa kwa siku moja. Ninachoomba Rais aanzishe SGR itakayounganisha nchi nzima kutoka Mbababay hadi Mtwara kupitia Kilwa hadi Dar na nyingine Dar , Tanga Moshi Arusha, Musoma mpaka Kagera. Uchambuzi ufanyike Rais ajaye 2030 ataanza ujenzi. Hatuwezi kushi bila ya dira ya maendeleo. Zile fedha tulizotumia kwenye bunge la katiba na Marehemu spika akasema zile zilizobaki hatazirudisha atazitafutia mipango mengine na zile fedha tulizogawana na kundi la Sulivan zingetosha kujenga kituo cha Nyuklia hapa nchini
 
Kaikuta Sukari 1kg buku jero Leo buku 4,

kanwa king'we kechimanya mbui mbii.
 
Ulicho andika ina onesha ulikotoka na ndiyo maana hoja zako zote ni mfilisi na zimetawalia na hisia za kibaguzi baguzi. Kumbuka ubaguzi wa aina yeyote ile: rangi, kabila, kanda, ndugu nk haujawahi kumbakiza mtu salama.
 
Hana mipango Jiwe wenu. Atafeli sana
 
Na utakuwa umesahau na mradi wa stand ya mabasi inayojengwa Nyamuhongolo mkoani Mwanza imekwama baada ya mkandaeasi kutopewa pesa ya kuendeshea mradi sasa amepunguza asilimia 94% ya vibarua na mafundi pamoja na wafanyakazi wengine kama Technician na operetors kwa hiyo hali ni mbaya jamani mjaribu kutembelea pale Nyamuhongolo hamna watu kabisa ni hayo tu mkuu.
 
Kuwa na aibu bro unaaibika vibaya mno
 
Kuna porojo na propaganda inatrend eti sgr iko 77% completion, thubutu!! mtaalamu alituibia siri anadai itakamilika baada ya miaka 15
 
Ww kweli mnyoo...
 
Ukiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Wapumbavu wako ccm miaka 60 alafu nchi haina sukari barakoa, sanitizer wala test kits, alafu mkuu wao ananataka wananchi wanywe kikombe cha madagascar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…