Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13


Mkuu huyo wa kwenye red kwa taarifa nilizonazo atakuwa hafundishi hiyo kozi kwa sasa, director wa undergradu... alibadilishwa so, kuna changes nimesikia zimefanyika. Hii ni kutoka chanzo changu cha kuaminika.

Hata hivyo wanachuo wengi hukamua nyakati za pepa tu.


"Kufaulu ni vigumu kama Ilivyo kufeli"@chemiker
 
40% unadisco ikiwa 50% kama muccobs & sua si ndo watadisco 5000!
 
kuwatumikia wanasiasa badala ya kuwa serious na kilichowapeleka pale. cha moto wamekiona,imbeni basi peopleeeeees power

we jamaa una akili kweli? Hivi unajua ni watu wangapi huwa wanakuwa interested na hizo unazoziita siasa?
 
Aaaa .tatizo walimu wa udsm wanakomoa sanaa aiseee.elim pale ni ngumu saaana.unaeza ukasomaaaa weeee na mtian ukakushinda
 
Inaonyesha ni kias gan mfumo wa elim ulivyo mbovu!!
.........Mkuu, nadhani mfumo wa elimu ni ule ule wa zamani, nahisi labda wanafunzi ndo wabovu kutokana na kutozingatia wanachofundishwa wakidhania jina la chuo litawabeba.
 
acha ww wa2 tunadiscuss kuhusu UDSM we unaleta habar za mabibi shamba &walima bustani wa sua?

tunajaribu kuangalia ulaini wa UDSM WASTANI 40%, WATU WANADISCO JE INGEKUWA 50% KAMA MUCCoBS & SUA INGEKUAJE? NAHISI WANGEDISCO HATA 5000, SHULE YA SUA NA MUCCoBS NI YA WAPIGAMSULI
 
we ar discussing abt UDSM..;!not any COLG lyk sua,mucobs etc

LAZIMA UKUBALI MKUU WASTANI40% UNADISCO? JE INGEKUWA 50% KAMA MUCCoBS &SUA INGEKUAJE? YAANI UDSM UKIWA NA COURSEWORK YA 25 TAYARI HUNA SUPP LOL MNAPENDELEWA WASTANI40%
 
Udsm imetoa na Udsm imetwaa jina lake liheshimiwe!!
:embarrassed1:
 
Du? Ingekuwa wastani ni 50 kama SAUT ingekuwaje? Nahisi wangeondoka karibia wote
 
mkuu,kuna mtu namfahamu ameingia na dv 1.4 ila wamemla kichwa kule coet.utasema huyo nae background yake ilikua mbovu?

kwani kupata div1.4,ndio background nzuri,inshu nialiipataje,je kama aliiba paper? pia yawezekana ni mzuri sana academicaly lakini akapata matatizo yakamfanya perfomance yake ikashuka, au je kama amemega demu wa mkufunzi.
 
Wamevuna walichopanda mijitu haisomi kutwa kushinda na laptop kudownload muvi miziki na Facebook kutwa wassup kutwa jf jukwaa la wakubwa na zaidi kufanya migomo isiyo na tija na kuongezea kushiriki katika siasa kwa kulaghaiwa pipoz pawa tena hao kidogo mwakani watafeli 658
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…