Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.

Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa

1685549780011.png
 
Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.

View attachment 2641721
Kwa kweli ahadi zisitimizwa za kuanza safari za treni za SGR kutoka Dar hadi Moro zinaharibu taswira nzuri ya Serikali yetu
 
Haya majitu ni majinga ujue daaah [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.

View attachment 2641721
Hicho kipande cha dar moro mnataka kianze kufanya kazi gani? Je kitasafirisha nini? Watu? Au mizigo? Na kama ni watu je hao watu wataacha kupanda buses wapande train ya gharama kubwa..... Na kama nu mizigo kuna biashara gani kati ya Dar na moro....

Kuanza kwa hicho kipande kitakuwa ni hasara kubwa kwa taifa tunaomba watanzania muwe na subra na mpunguze sifa na mihemko na mjifunze kujua vipaumbele...na kwasasa serikali imeona hilo ndio maana kila siku wanatafuta njia za kuwadanganya kwasababu kuanza kwa hicho kipande ni hasara tusubiri reli yote kipande cha Dar mpaka Mwanza kikamilike ili tuone tija ta hiyo reli yetu ya sgr.
 
As long as wenye nguvu kiuchumi wanazidi kuingiza malori na mabasi ya abiria. SGR mtaisikia kwenye redio tu.
Kwanza mradi ulikua uanze November 2019
Ikaja 2020
Wakatuhakikishia 2021
Wakatuhadaa mradi utaanza 2022
Juzi juzi wakasema iwe mvua au liwake jua. Juni mosi 2023 lazima
Treni ibebe abiria.
Leo hii wamesogeza bila kutaja tarehe.
Mjerumani alijenga reli Dar to Kigoma ndani ya miaka sita kwa teknolojia ya Karne iliyopita yaani zaidi ya miaka Mia.
Leo hii kwa teknolojia ya Sasa Dar mpaka Moro Ni miaka Saba na ushee na bado.
I stand to be corrected.
 
Hii ni Blah blah blah nyingine, hawa royal families wanafanya wanavyataka maana wanajua hakuna recourse watakayoipata kwa ahadi zao za uongo, few days nayo hii itakua kama kesi wa mwanajeshi kupiga raia, kifo cha yule mwanafunzi pale udom, kifo cha Akwilina etc etc ni cold 🥶 cases
 
Hicho kipande cha dar moro mnataka kianze kufanya kazi gani? Je kitasafirisha nini? Watu? Au mizigo? Na kama ni watu je hao watu wataacha kupanda buses wapande train ya gharama kubwa..... Na kama nu mizigo kuna biashara gani kati ya Dar na moro....

Kuanza kwa hicho kipande kitakuwa ni hasara kubwa kwa taifa tunaomba watanzania muwe na subra na mpunguze sifa na mihemko na mjifunze kujua vipaumbele...na kwasasa serikali imeona hilo ndio maana kila siku wanatafuta njia za kuwadanganya kwasababu kuanza kwa hicho kipande ni hasara tusubiri reli yote kipande cha Dar mpaka Mwanza kikamilike ili tuone tija ta hiyo reli yetu ya sgr.
Hata ikifika mwanza bado hakuna mizigo ya kurudi dar kutokea upande huo.
Sgr ilitakiwa iende hta rukwa ili irudi na copper ya kongo
 
Train ya sgr mnajenga kwaajiri ya mizigo au kwaajili ya watu? Na kama kwaajili ta mizigo je hakuna mizigo kutoka kanda ya ziwa au hakuna mizigo kutoka nje ya nchi kama uganda n.k itakayoenda sehemu nyingine ya Tanzania? Wazungu wamejenga sgr kwaajili ya mizigo? .. Hizi fikra zenu mfu na akili zenu ndio zinafanya nchi yenu ibaki kuwa maskini huku mkilalia rasilimali zenu na zingine zikinufaisha wajanja.
 
Unaongea sana bro halafu huna exposure !! Niambie ni mzigo gani unatoka uganda na kuja dar? Mwanza huduma anapeleka saruji kanda ya ziwa lakini kila siku anarudisha gari tupu huku nyingine akiwa zimebebana kutoka mwanza !! Unategemea sgr itarudi na mzigo gani?
Sgr haiwezi kuleta ushindani kwenye abiria maana hiyo dar moro tu haitapata abiria kwa nauli ile waliyopropose. Tegemeo lililobaki ni mizigo ambayo kwa huko inapokwenda ni kama haiwezi kupata mzigo
Kwa wazungu mbali nenda hapo mombasa uone kama sgr inategemea abiria ! Life line ya reli popote duniani ni mizigo abiria ni kachumbari tu.
 
Unaongea sana bro halafu huna exposure !! Niambie ni mzigo gani unatoka uganda na kuja dar? Mwanza huduma anapeleka saruji kanda ya ziwa lakini kila siku anarudisha gari tupu huku nyingine akiwa zimebebana kutoka mwanza !! Unategemea sgr itarudi na mzigo gani?
Sgr haiwezi kuleta ushindani kwenye abiria maana hiyo dar moro tu haitapata abiria kwa nauli ile waliyopropose. Tegemeo lililobaki ni mizigo ambayo kwa huko inapokwenda ni kama haiwezi kupata mzigo
Akili zako na ubishi wa kutokuwa na maono nenda kabishane na mkeo, hiyo mind set yenu ya kufikiria Dar ndio termination ya kila kitu ondoeni hizo kasumba, hiyo sgr inaweza kubeba dagaa na samaki tuuza hapk dodoma au singida, tunaweza kubeba sukari na nguo toka uganda tukauza huko morogoro na Tabora, inaweza kubeba ndizi za bukoba ikapeleka dodoma na morogoro sio mpaka Dar na inaweza kubeba watu kutoka Mwanza shinyanga mpka morogoro..... Poleni sana kwa kutokuwa na maono.
 
As long as wenye nguvu kiuchumi wanazidi kuingiza malori na mabasi ya abiria. SGR mtaisikia kwenye redio tu.
Kwanza mradi ulikua uanze November 2019
Ikaja 2020
Wakatuhakikishia 2021
Wakatuhadaa mradi utaanza 2022
Juzi juzi wakasema iwe mvua au liwake jua. Juni mosi 2023 lazima
Treni ibebe abiria.
Leo hii wamesogeza bila kutaja tarehe.
Mjerumani alijenga reli Dar to Kigoma ndani ya miaka sita kwa teknolojia ya Karne iliyopita yaani zaidi ya miaka Mia.
Leo hii kwa teknolojia ya Sasa Dar mpaka Moro Ni miaka Saba na ushee na bado.
I stand to be corrected.
Poor excuses kama hizi zinawafanya ccm waishi kwa furaha daima ! Maana wanajua madhaifu yao na wanapata unafuu kwa kuongoza raia wajinga!!
Sgr layout tu kwenda kanda ya ziwa kiushabiki bila kufanya upembuzi lilikuwa ni kosa !!
Kenya walipoamua kujenga Sgr walifanya tathmini ya kutosha . Sgr kule imepita kwenye exact location ambapo mizigo inatoka na kwenda !ndio maana ilipoanza kufanya kazi kweli ikaonesha impact kwenye matumizi ya malori!.
Hakuna matajiri wenye nguvu kama mabepari wa kenya , lakini iliwalazimu kupaki magari maana sgr ili outsmart road haulage.
Malori yanaendelea kujazana kwa sababu sgr inakwenda sehemu tofauti na demand ya mizigo.
 
Back
Top Bottom