Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
bongo dar es salaam by prof j
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkakati namba moja nikusitisha vibali vya huduma mbadala; kwahiyo mtakua hamna option zaidi ya kupanda rejea mwendokasi Dar!Hicho kipande cha dar moro mnataka kianze kufanya kazi gani? Je kitasafirisha nini? Watu? Au mizigo? Na kama ni watu je hao watu wataacha kupanda buses wapande train ya gharama kubwa..... Na kama nu mizigo kuna biashara gani kati ya Dar na moro....
Kuanza kwa hicho kipande kitakuwa ni hasara kubwa kwa taifa tunaomba watanzania muwe na subra na mpunguze sifa na mihemko na mjifunze kujua vipaumbele...na kwasasa serikali imeona hilo ndio maana kila siku wanatafuta njia za kuwadanganya kwasababu kuanza kwa hicho kipande ni hasara tusubiri reli yote kipande cha Dar mpaka Mwanza kikamilike ili tuone tija ta hiyo reli yetu ya sgr.
Kipindi fulani nilikuwa napenda kudandia tren nakaa kwa wale klina. Yule klina alikuwa akisema, treni ya abiria ilikuwa ni kwa ajili ya kutoa huduma lakini TRC hawapati faida kabisa kupitia kubeba abiria. Treni yenye faida ni ile ya mizigo.Perishable goods, time sensitive goods ,cold chain goods and uncontained goods, by default are not meant to be transported by train. ! Na hii ni dunia nzima! nenda popote hutakuta eti nyanya ipo kwenye behewa la mizigo. The only thing a train is good at hauling, ni containers.
Makambako kuna reli na kunatoka mbao ,soko kubwa la mbao kwa Tanzania naweza kusema ni buguruni ni km 2 tu kufika Tazara main station, lakini ni rahisi kubeba mbao kwenye lori kuliko mzunguko wa treni.
Hata sgr ya jirani zetu, inasafirisha sana makontena kuliko pengine kitu chochote. Kama utafiti ungefanywa vizuri Sgr ilitakiwa iende mpakani na kongo, ambapo tunge enjoy go and return copper cargo za Congo
Ni ngumu na haiwezekani kujenga nchi nzima Katika mfumo wa SGR sababu ni, Gharama ni kubwa, Matunzo (Maintainance), Tija(Profitability). Hizi tunazojenga tumejikamua sana, maana hakuna nchi katika Africa ina SGR kuzidi Km 1200 plus. SGR ndefu kwa Africa ipo Morroco(kama km 700), Egypt chini ya km 300, Ethiopia - Djibout chini ya Km 600, Kenya haitumii Umeme. Tanzania SGR ni km 1,900plus, kwa urefu inazizidi SGR za Turin - Milan Italia, London - Paris, London - Munich kama miradi yote itaisha. Kujenga SGR unaitaji nchi yenye roho ngumu, maana zipo nchi zina mafuta lakini hazijengi.Kipindi fulani nilikuwa napenda kudandia tren nakaa kwa wale klina. Yule klina alikuwa akisema, treni ya abiria ilikuwa ni kwa ajili ya kutoa huduma lakini TRC hawapati faida kabisa kupitia kubeba abiria. Treni yenye faida ni ile ya mizigo.
Sasa tukija kwenye hoja ya SGR. Mimi nilikuwa najua kwamba kazi mojawapo ya serikali ni kutoa huduma za kijamii, na huduma mojawapo ni miundombinu ya usafirishaji haijalishi inapata faida au la!
Kwahiyo, hiyo SGR hata kama itabeba watu ni sawa tu ili Wanzania wawahi mishe zao kwa sababu tunalipa kodi katika vyanzo mbalimbali. Pia, tuna madini na rasilimali nyingine kibao.
Kwani sisi Watanzania hatutakiwi kutumia vitu vizuri jamani? mpaka mizigo tu?
Kwani huko India nchi yenye mtandao mkubwa wa reli duniani wanasafirisha mizigo tu?
Kama ikiwezekana SGR ijengwe na kuunganisha mikoa yote Tanzania ili Watanzania wafurahie kodi zao wala haina shida!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Aisee! Kazi ipo! Yetu machoNi ngumu na haiwezekani kujenga nchi nzima Katika mfumo wa SGR sababu ni, Gharama ni kubwa, Matunzo (Maintainance), Tija(Profitability). Hizi tunazojenga tumejikamua sana, maana hakuna nchi katika Africa ina SGR kuzidi Km 1200 plus. SGR ndefu kwa Africa ipo Morroco(kama km 700), Egypt chini ya km 300, Ethiopia - Djibout chini ya Km 600, Kenya haitumii Umeme. Tanzania SGR ni km 1,900plus, kwa urefu inazizidi SGR za Turin - Milan Italia, London - Paris, London - Munich kama miradi yote itaisha. Kujenga SGR unaitaji nchi yenye roho ngumu, maana zipo nchi zina mafuta lakini hazijengi.
Rudi nyuma uelewe tulipoanzia kutofautiana, itakusaidia sana kuliko kuanzia hapaKwan ni kosa dar kulisha mikoa mingjne ,sasa wasipo jega barabara ama reli watapitia wapi sasa .Kwan madini hayapo mikoa mingjne ni mpaka congo.sasa kama barabara zinaharibka upande mmoja huoni umuhimu wa reli? Hii nchi n kubwa tuwe serious
Upo sahihi kabisa.Unaongea sana bro halafu huna exposure !! Niambie ni mzigo gani unatoka uganda na kuja dar? Mwanza huduma anapeleka saruji kanda ya ziwa lakini kila siku anarudisha gari tupu huku nyingine akiwa zimebebana kutoka mwanza !! Unategemea sgr itarudi na mzigo gani?
Sgr haiwezi kuleta ushindani kwenye abiria maana hiyo dar moro tu haitapata abiria kwa nauli ile waliyopropose. Tegemeo lililobaki ni mizigo ambayo kwa huko inapokwenda ni kama haiwezi kupata mzigo
Kwa wazungu mbali nenda hapo mombasa uone kama sgr inategemea abiria ! Life line ya reli popote duniani ni mizigo abiria ni kachumbari tu.
Mi siwezi kubishana kwa kejeli ! Im not wired that way !! Wewe tukana mi nitakuelimisha
Broo kwa hali ya kawaida ushawahi kuona behewa la treni limebeba ndizi au dagaa? Unafahamu hiyo mizigo ina attract bei ndogo sana za usafiri kutoka huko kwenda popote Tanzania?
Gharama za kujenga sgr zilivyo juu pesa itarudi kweli kama mizigo inatarajiwa kuwa ni dagaa na ndizi za kushuka dodoma na mororgoro?
Ati sukari kutoka uganda!!! hivi unafahamu hata sera ya nchi yako na kodi ya sukari inayotoka nje ?
Na vile vile anatakiwa ajue kuwa hiyo hiyo treni ya mwanza zilikuwa kwa wiki mara mbili ila kwa sasa moja imeondolewa kwasababu hakuna abiria wa kutosha sasa unapoteza lita 2000 kwa abiria 70?Nimepanda treni ya kutoka kigoma kwenda dar hivi karibuni, tabora behewa la kwenda mwanza lilikuwa ni moja tu. Yani angalau treni ya mpanda inajaza lakinj sio ya mwanza !
Halafu ondoa makasiriko na watu wa dar haikusaidii!
Tena hilo ndilo lipo katika hii MGR kwa Sasa.Kwa upande wa mizigo itakuwa ni one way traffic, nimekaa paleeee! Ball possession ni 90% kwa 10% kwenda na kurudi respectfully
Kigogo ni mizigo inayotoka dar kwenda mikoani. Niambie Kanda ya ziwa inapoelekea Sgr kuna mizigo gani itakayoweza kusustain behewa za sgrInaonesha hufanyi biashara nenda kigogo tu pale kaangalie watu wanavo pack mizgo yao watu wanafanya biashara wanaagiza mizgo mingi tu.
Watu hawafikirii mbali wanaleta ushabiki tu wa kisiasaTena hilo ndilo lipo katika hii MGR kwa Sasa.