t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mi siwezi kubishana kwa kejeli ! Im not wired that way !! Wewe tukana mi nitakuelimishaAkili zako na ubishi wa kutokuwa na maono nenda kabishane na mkeo, hiyo mind set yenu ya kufikiria Dar ndio termination ya kila kitu ondoeni hizo kasumba, hiyo sgr inaweza kubeba dagaa na samaki tuuza hapk dodoma au singida, tunaweza kubeba sukari na nguo toka uganda tukauza huko morogoro na Tabora, inaweza kubeba ndizi za bukoba ikapeleka dodoma na morogoro sio mpaka Dar na inaweza kubeba watu kutoka Mwanza shinyanga mpka morogoro..... Poleni sana kwa kutokuwa na maono.
Broo kwa hali ya kawaida ushawahi kuona behewa la treni limebeba ndizi au dagaa? Unafahamu hiyo mizigo ina attract bei ndogo sana za usafiri kutoka huko kwenda popote Tanzania?
Gharama za kujenga sgr zilivyo juu pesa itarudi kweli kama mizigo inatarajiwa kuwa ni dagaa na ndizi za kushuka dodoma na mororgoro?
Ati sukari kutoka uganda!!! hivi unafahamu hata sera ya nchi yako na kodi ya sukari inayotoka nje ?