Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

sioni sababu kwa nini mnabishana a kurushiana vijembe!!!, alichokiongea huyu jamaa ni kitu fikirishi, ni ukweli tu ulio wazi kabisa kwamba mzigo kutoka mwanza/kanda ya ziwa ni mchache mno kuifeed sgr vya kutosha. kinachotakiwa hapa ni kuanza kujipanga kuhakikisha mzigo unapatikana.ndizi na dagaa bado ni kidogo mno
Eti.ndizi na dagaa
 
Eti.ndizi na dagaa
Perishable goods, time sensitive goods ,cold chain goods and uncontained goods, by default are not meant to be transported by train. ! Na hii ni dunia nzima! nenda popote hutakuta eti nyanya ipo kwenye behewa la mizigo. The only thing a train is good at hauling, ni containers.
Makambako kuna reli na kunatoka mbao ,soko kubwa la mbao kwa Tanzania naweza kusema ni buguruni ni km 2 tu kufika Tazara main station, lakini ni rahisi kubeba mbao kwenye lori kuliko mzunguko wa treni.
Hata sgr ya jirani zetu, inasafirisha sana makontena kuliko pengine kitu chochote. Kama utafiti ungefanywa vizuri Sgr ilitakiwa iende mpakani na kongo, ambapo tunge enjoy go and return copper cargo za Congo
 
Huu mradi wa sgr Jiwe alikurupuka taifa linaingia gharama za mikopo na ujenzi ambao hauna manufaa...
Upo dunia ya kipekee sana mkuu, kama bado huelewi maana ya mradi huo. Hii haina maana nafurahia ubovu unaoendelea kwenye mradi huo.
 
Kwa upande wa mizigo itakuwa ni one way traffic, nimekaa paleeee! Ball possession ni 90% kwa 10% kwenda na kurudi respectfully
Train ya sgr mnajenga kwaajiri ya mizigo au kwaajili ya watu? Na kama kwaajili ta mizigo je hakuna mizigo kutoka kanda ya ziwa au hakuna mizigo kutoka nje ya nchi kama uganda n.k itakayoenda sehemu nyingine ya Tanzania? Wazungu wamejenga sgr kwaajili ya mizigo? .. Hizi fikra zenu mfu na akili zenu ndio zinafanya nchi yenu ibaki kuwa maskini huku mkilalia rasilimali zenu na zingine zikinufaisha wajan
 
Akili zako na ubishi wa kutokuwa na maono nenda kabishane na mkeo, hiyo mind set yenu ya kufikiria Dar ndio termination ya kila kitu ondoeni hizo kasumba, hiyo sgr inaweza kubeba dagaa na samaki tuuza hapk dodoma au singida, tunaweza kubeba sukari na nguo toka uganda tukauza huko morogoro na Tabora, inaweza kubeba ndizi za bukoba ikapeleka dodoma na morogoro sio mpaka Dar na inaweza kubeba watu kutoka Mwanza shinyanga mpka morogoro..... Poleni sana kwa kutokuwa na maono.
Wee jamaa unazungumzia treni kubwa vile kubeba ndizi na dagaa!!???😂😂😂😂, Nyie watu wa mwanza tatizo lenu mnajitutumua sana kwa kuwa mnaitwa Jiji kama DSM so mnafikiri mko sawa, mna airport, bandari, railway station kama dar, hahaha. Mwanza haifiki hata 1/5 ya dar! So mwanza itakuwa inalishwa zaidi na SGR kuliko yenyewa itakavyolisha Dar, usikasirike coz mikoa yote tz inasafa hivyo hivyo. Ukitaka kujua Hilo angalia barabara hasa kipande Cha Moro Hadi dodoma, barabara imebonyea upande mmoja wa kwenda bara huku upande wa kwenda pwani ukiwa haujabonyea, means magari mengi yanaenda na mizigo yanarudi tupu
 
Bado kidogo tu tutaanza kuiba mataruma tukapime chima chakavu maana tren yenyewe hatuioni
 
Wee jamaa unazungumzia treni kubwa vile kubeba ndizi na dagaa!!???😂😂😂😂, Nyie watu wa mwanza tatizo lenu mnajitutumua sana kwa kuwa mnaitwa Jiji kama DSM so mnafikiri mko sawa, mna airport, bandari, railway station kama dar, hahaha. Mwanza haifiki hata 1/5 ya dar! So mwanza itakuwa inalishwa zaidi na SGR kuliko yenyewa itakavyolisha Dar, usikasirike coz mikoa yote tz inasafa hivyo hivyo. Ukitaka kujua Hilo angalia barabara hasa kipande Cha Moro Hadi dodoma, barabara imebonyea upande mmoja wa kwenda bara huku upande wa kwenda pwani ukiwa haujabonyea, means magari mengi yanaenda na mizigo yanarudi tupu
Hii trend ya kanda ya kaskazini kujilinganisha na Dar ilikuwa orchestrated na siasa za Jpm. Aliibomoa sana dar na akahakikisha anaipendelea kanda ya ziwa akiamini kuwa zinaweza kulingana . Matokeo yaje , wengi wao bila ku reason wamekuwa wakiamini kuwa wana deserve haki sawa na dar ! Unalinganishaje kwa mfano bandari ya ziwani na bandar yenye access na dunia !

Tumepakana na rwanda ,Burundi. Uganda etc kati ya nchi zote hizo hakuna inayo export chochote in massive quantity. Congo na Zambia ndio nchi zenye potential ya mizigo ya export, Congo ina access na bandari kubwa nne ,beira ambaye ni mshindani wetu,walvis bay kwa mizigo ya ulaya na durban kwa mizigo ya south America . Isibge kuwa labguage barrier Beira port ilishaanza ku pock up,bahati wakongo wanaongea kiswahili ndo maana wanapenda kuja dar.
Sgr sasa ilitakiwa iwafikie wakongo , bora hata ingeelekea rukwa maana ingerudi na copper bila shida .
 
Ila CCM hawanaga busara Wala akili, wanatufanya wote wajinga
Mapendekezo ya sgr kwenda latra , nauli ya dar moro 24,794 tsh ,dar dodoma 59,494 tsh ,dar bahi 65,894 tsh .
Ni dhahiri kuwa sgr ni expensive to run and operate !!! Ilikuwaje wanasiasa wakaja na jibu kuwa tunahitaji sgr kwa hali hii yetu ya uchumi ?
 
Miradi ya kisiasa tu hio, na CCM walivyo wanafiki kila kitu wanaitikia
 
Ukraine anasingiziwa mengi wakati hatengenezi Treni
Yule mtengeneza vichwa vya treni labda yeye ndiyo anamtegemea Ukraine !!?? Tuwape muda si week ijayo Vita inaisha, tusubiri watakuja na sababu gani nyingine!!!
 
Hicho kipande cha dar moro mnataka kianze kufanya kazi gani? Je kitasafirisha nini? Watu? Au mizigo? Na kama ni watu je hao watu wataacha kupanda buses wapande train ya gharama kubwa..... Na kama nu mizigo kuna biashara gani kati ya Dar na moro....

Kuanza kwa hicho kipande kitakuwa ni hasara kubwa kwa taifa tunaomba watanzania muwe na subra na mpunguze sifa na mihemko na mjifunze kujua vipaumbele...na kwasasa serikali imeona hilo ndio maana kila siku wanatafuta njia za kuwadanganya kwasababu kuanza kwa hicho kipande ni hasara tusubiri reli yote kipande cha Dar mpaka Mwanza kikamilike ili tuone tija ta hiyo reli yetu ya sgr.
Priority ya kwanza SGR imetengenezwa ni kwa ajiri ya kusafirisha watu, ili kuchochea uchumi kutoka upande mmoja kwenda mwingine, ilo suala la mizigo ni priority namba 2. By the way Tanzania haina mizigo yenye hazi ya kusafirishwa na SGR kwa sasa, mizigo itakuepo tu pale SGR itakapofika mipaka ya Rwanda,Burundi na DRC. Sisi tumetengeneza SGR kwa ajiri ya watu kwanza, so iache ianze. Tanzania inataka huduma ya SGR kwanza, faida baadae. Mfano kuna SGR kutoka London - English Atlantic Ocean Chanell tunnel - Calais France - Paris France inasafirisha watu kila siku toka London Uk hadi Paris France au Amsterdam Holland, lakini Malori ni mengi yanayoenda Uk kupitia hapo Calais hadi kunakua na Foleni kwenye hilo handaki. Treni ifanye kazi yake Lori zifanye kazi yake. Usitufunge akiri kwa kujiona wewe unajua. Dar - Morogoro ndio busy route kuanzia asubuhi hadi jioni, kwa Mabus makubwa (Magufuli Stand) hadi Madogo (Mbezi stand) na yanajaza kila dakika, so faida ya hiyo SGR treni ipo kwenye route fupi ya Dar - Morogoro tu, maana ndio eneo busy Tanzania nzima, mikoa mingine ni dhaifu haina wasafiri wengi kuleta faida. Mfano Reli ya TAZARA inajaza kutoka Dar hadi Mlimba Morogoro tu, Treni ikifika Mgololo, Makambako mpaka Zambia haina watu, ikirudi inaanza kujaza Makambako, Mlimba, Ifakara tu huko kwingine hmna kitu. Nafikiri umeelewa.
 
Wee jamaa unazungumzia treni kubwa vile kubeba ndizi na dagaa!!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Nyie watu wa mwanza tatizo lenu mnajitutumua sana kwa kuwa mnaitwa Jiji kama DSM so mnafikiri mko sawa, mna airport, bandari, railway station kama dar, hahaha. Mwanza haifiki hata 1/5 ya dar! So mwanza itakuwa inalishwa zaidi na SGR kuliko yenyewa itakavyolisha Dar, usikasirike coz mikoa yote tz inasafa hivyo hivyo. Ukitaka kujua Hilo angalia barabara hasa kipande Cha Moro Hadi dodoma, barabara imebonyea upande mmoja wa kwenda bara huku upande wa kwenda pwani ukiwa haujabonyea, means magari mengi yanaenda na mizigo yanarudi tupu
Kwan ni kosa dar kulisha mikoa mingjne ,sasa wasipo jega barabara ama reli watapitia wapi sasa .Kwan madini hayapo mikoa mingjne ni mpaka congo.sasa kama barabara zinaharibka upande mmoja huoni umuhimu wa reli? Hii nchi n kubwa tuwe serious
 
Hicho kipande cha dar moro mnataka kianze kufanya kazi gani? Je kitasafirisha nini? Watu? Au mizigo? Na kama ni watu je hao watu wataacha kupanda buses wapande train ya gharama kubwa..... Na kama nu mizigo kuna biashara gani kati ya Dar na moro....

Kuanza kwa hicho kipande kitakuwa ni hasara kubwa kwa taifa tunaomba watanzania muwe na subra na mpunguze sifa na mihemko na mjifunze kujua vipaumbele...na kwasasa serikali imeona hilo ndio maana kila siku wanatafuta njia za kuwadanganya kwasababu kuanza kwa hicho kipande ni hasara tusubiri reli yote kipande cha Dar mpaka Mwanza kikamilike ili tuone tija ta hiyo reli yetu ya sgr.
We nadhani una biashara yako ya mabasi na mizigo....Kwani mkipunguza umbali wa mizigi mpaka Morogoro kuna hasara gani ili kusaidia barabara zetu?
 
Priority ya kwanza SGR imetengenezwa ni kwa ajiri ya kusafirisha watu, ili kuchochea uchumi kutoka upande mmoja kwenda mwingine, ilo suala la mizigo ni priority namba 2. By the way Tanzania haina mizigo yenye hazi ya kusafirishwa na SGR kwa sasa, mizigo itakuepo tu pale SGR itakapofika mipaka ya Rwanda,Burundi na DRC. Sisi tumetengeneza SGR kwa ajiri ya watu kwanza, so iache ianze. Tanzania inataka huduma ya SGR kwanza, faida baadae. Mfano kuna SGR kutoka London - English Atlantic Ocean Chanell tunnel - Calais France - Paris France inasafirisha watu kila siku toka London Uk hadi Paris France au Amsterdam Holland, lakini Malori ni mengi yanayoenda Uk kupitia hapo Calais hadi kunakua na Foleni kwenye hilo handaki. Treni ifanye kazi yake Lori zifanye kazi yake. Usitufunge akiri kwa kujiona wewe unajua. Dar - Morogoro ndio busy route kuanzia asubuhi hadi jioni, kwa Mabus makubwa (Magufuli Stand) hadi Madogo (Mbezi stand) na yanajaza kila dakika, so faida ya hiyo SGR treni ipo kwenye route fupi ya Dar - Morogoro tu, maana ndio eneo busy Tanzania nzima, mikoa mingine ni dhaifu haina wasafiri wengi kuleta faida. Mfano Reli ya TAZARA inajaza kutoka Dar hadi Mlimba Morogoro tu, Treni ikifika Mgololo, Makambako mpaka Zambia haina watu, ikirudi inaanza kujaza Makambako, Mlimba, Ifakara tu huko kwingine hmna kitu. Nafikiri umeelewa.
Huyo nadhani ni mdau anayeiongopea serikali na pengine mtoa rushwa kwa watendaji, ili kuendeleza private business zake
 
Hicho kipande cha dar moro mnataka kianze kufanya kazi gani? Je kitasafirisha nini? Watu? Au mizigo? Na kama ni watu je hao watu wataacha kupanda buses wapande train ya gharama kubwa..... Na kama nu mizigo kuna biashara gani kati ya Dar na moro....

Kuanza kwa hicho kipande kitakuwa ni hasara kubwa kwa taifa tunaomba watanzania muwe na subra na mpunguze sifa na mihemko na mjifunze kujua vipaumbele...na kwasasa serikali imeona hilo ndio maana kila siku wanatafuta njia za kuwadanganya kwasababu kuanza kwa hicho kipande ni hasara tusubiri reli yote kipande cha Dar mpaka Mwanza kikamilike ili tuone tija ta hiyo reli yetu ya sgr.
Tumekusikia Mwenyekiti wa TABOA
 
Priority ya kwanza SGR imetengenezwa ni kwa ajiri ya kusafirisha watu, ili kuchochea uchumi kutoka upande mmoja kwenda mwingine, ilo suala la mizigo ni priority namba 2. By the way Tanzania haina mizigo yenye hazi ya kusafirishwa na SGR kwa sasa, mizigo itakuepo tu pale SGR itakapofika mipaka ya Rwanda,Burundi na DRC. Sisi tumetengeneza SGR kwa ajiri ya watu kwanza, so iache ianze. Tanzania inataka huduma ya SGR kwanza, faida baadae. Mfano kuna SGR kutoka London - English Atlantic Ocean Chanell tunnel - Calais France - Paris France inasafirisha watu kila siku toka London Uk hadi Paris France au Amsterdam Holland, lakini Malori ni mengi yanayoenda Uk kupitia hapo Calais hadi kunakua na Foleni kwenye hilo handaki. Treni ifanye kazi yake Lori zifanye kazi yake. Usitufunge akiri kwa kujiona wewe unajua. Dar - Morogoro ndio busy route kuanzia asubuhi hadi jioni, kwa Mabus makubwa (Magufuli Stand) hadi Madogo (Mbezi stand) na yanajaza kila dakika, so faida ya hiyo SGR treni ipo kwenye route fupi ya Dar - Morogoro tu, maana ndio eneo busy Tanzania nzima, mikoa mingine ni dhaifu haina wasafiri wengi kuleta faida. Mfano Reli ya TAZARA inajaza kutoka Dar hadi Mlimba Morogoro tu, Treni ikifika Mgololo, Makambako mpaka Zambia haina watu, ikirudi inaanza kujaza Makambako, Mlimba, Ifakara tu huko kwingine hmna kitu. Nafikiri umeelewa.
Uwekezaj mdogo tu huwez sema Burundi n ya muhimu ama Rwanda ipelekewe sgr kuliko kanda ya ziwa Kwan kuna nn huko Burundi cha kuzidi kanda ya kazikazin au kusini mwa Tanzania,
 
Back
Top Bottom