Umechelewa kufikaLabda kuna kitu sijaelewa, Sasa unacheka nini?View attachment 2641722
Kwa kweli ahadi zisitimizwa za kuanza safari za treni za SGR kutoka Dar hadi Moro zinaharibu taswira nzuri ya Serikali yetuSerikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.
View attachment 2641721
Hicho kipande cha dar moro mnataka kianze kufanya kazi gani? Je kitasafirisha nini? Watu? Au mizigo? Na kama ni watu je hao watu wataacha kupanda buses wapande train ya gharama kubwa..... Na kama nu mizigo kuna biashara gani kati ya Dar na moro....Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.
View attachment 2641721
Hata ikifika mwanza bado hakuna mizigo ya kurudi dar kutokea upande huo.Hicho kipande cha dar moro mnataka kianze kufanya kazi gani? Je kitasafirisha nini? Watu? Au mizigo? Na kama ni watu je hao watu wataacha kupanda buses wapande train ya gharama kubwa..... Na kama nu mizigo kuna biashara gani kati ya Dar na moro....
Kuanza kwa hicho kipande kitakuwa ni hasara kubwa kwa taifa tunaomba watanzania muwe na subra na mpunguze sifa na mihemko na mjifunze kujua vipaumbele...na kwasasa serikali imeona hilo ndio maana kila siku wanatafuta njia za kuwadanganya kwasababu kuanza kwa hicho kipande ni hasara tusubiri reli yote kipande cha Dar mpaka Mwanza kikamilike ili tuone tija ta hiyo reli yetu ya sgr.
Train ya sgr mnajenga kwaajiri ya mizigo au kwaajili ya watu? Na kama kwaajili ta mizigo je hakuna mizigo kutoka kanda ya ziwa au hakuna mizigo kutoka nje ya nchi kama uganda n.k itakayoenda sehemu nyingine ya Tanzania? Wazungu wamejenga sgr kwaajili ya mizigo? .. Hizi fikra zenu mfu na akili zenu ndio zinafanya nchi yenu ibaki kuwa maskini huku mkilalia rasilimali zenu na zingine zikinufaisha wajanja.Hata ikifika mwanza bado hakuna mizigo ya kurudi dar kutokea upande huo.
Sgr ilitakiwa iende hta rukwa ili irudi na copper ya kongo
Unaongea sana bro halafu huna exposure !! Niambie ni mzigo gani unatoka uganda na kuja dar? Mwanza huduma anapeleka saruji kanda ya ziwa lakini kila siku anarudisha gari tupu huku nyingine akiwa zimebebana kutoka mwanza !! Unategemea sgr itarudi na mzigo gani?Train ya sgr mnajenga kwaajiri ya mizigo au kwaajili ya watu? Na kama kwaajili ta mizigo je hakuna mizigo kutoka kanda ya ziwa au hakuna mizigo kutoka nje ya nchi kama uganda n.k itakayoenda sehemu nyingine ya Tanzania? Wazungu wamejenga sgr kwaajili ya mizigo? .. Hizi fikra zenu mfu na akili zenu ndio zinafanya nchi yenu ibaki kuwa maskini huku mkilalia rasilimali zenu na zingine zikinufaisha wajanja.
Akili zako na ubishi wa kutokuwa na maono nenda kabishane na mkeo, hiyo mind set yenu ya kufikiria Dar ndio termination ya kila kitu ondoeni hizo kasumba, hiyo sgr inaweza kubeba dagaa na samaki tuuza hapk dodoma au singida, tunaweza kubeba sukari na nguo toka uganda tukauza huko morogoro na Tabora, inaweza kubeba ndizi za bukoba ikapeleka dodoma na morogoro sio mpaka Dar na inaweza kubeba watu kutoka Mwanza shinyanga mpka morogoro..... Poleni sana kwa kutokuwa na maono.Unaongea sana bro halafu huna exposure !! Niambie ni mzigo gani unatoka uganda na kuja dar? Mwanza huduma anapeleka saruji kanda ya ziwa lakini kila siku anarudisha gari tupu huku nyingine akiwa zimebebana kutoka mwanza !! Unategemea sgr itarudi na mzigo gani?
Sgr haiwezi kuleta ushindani kwenye abiria maana hiyo dar moro tu haitapata abiria kwa nauli ile waliyopropose. Tegemeo lililobaki ni mizigo ambayo kwa huko inapokwenda ni kama haiwezi kupata mzigo
Poor excuses kama hizi zinawafanya ccm waishi kwa furaha daima ! Maana wanajua madhaifu yao na wanapata unafuu kwa kuongoza raia wajinga!!As long as wenye nguvu kiuchumi wanazidi kuingiza malori na mabasi ya abiria. SGR mtaisikia kwenye redio tu.
Kwanza mradi ulikua uanze November 2019
Ikaja 2020
Wakatuhakikishia 2021
Wakatuhadaa mradi utaanza 2022
Juzi juzi wakasema iwe mvua au liwake jua. Juni mosi 2023 lazima
Treni ibebe abiria.
Leo hii wamesogeza bila kutaja tarehe.
Mjerumani alijenga reli Dar to Kigoma ndani ya miaka sita kwa teknolojia ya Karne iliyopita yaani zaidi ya miaka Mia.
Leo hii kwa teknolojia ya Sasa Dar mpaka Moro Ni miaka Saba na ushee na bado.
I stand to be corrected.