Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

Mi siwezi kubishana kwa kejeli ! Im not wired that way !! Wewe tukana mi nitakuelimisha
Broo kwa hali ya kawaida ushawahi kuona behewa la treni limebeba ndizi au dagaa? Unafahamu hiyo mizigo ina attract bei ndogo sana za usafiri kutoka huko kwenda popote Tanzania?
Gharama za kujenga sgr zilivyo juu pesa itarudi kweli kama mizigo inatarajiwa kuwa ni dagaa na ndizi za kushuka dodoma na mororgoro?
Ati sukari kutoka uganda!!! hivi unafahamu hata sera ya nchi yako na kodi ya sukari inayotoka nje ?
 
Nimepanda treni ya kutoka kigoma kwenda dar hivi karibuni, tabora behewa la kwenda mwanza lilikuwa ni moja tu. Yani angalau treni ya mpanda inajaza lakinj sio ya mwanza !
Halafu ondoa makasiriko na watu wa dar haikusaidii!
 
Me siwezi kuongea na mtu bila facts chukua hii labda itakusaidia, hapa utaona umuhimu wa sgr Mwanza kuliko hata sehemu yoyote ya Tanzania, ukishindwa baki na chuki na wivu wako na ujinga wako baada ya hapa usiniquote fanya yameisha 👇👇
 
Ramani bila vielelezo !! Huna hoja ya kuongea!!
Never quote me na tufanye umeshinda weye!!
 
Uliwahi kuishauri TRA hili jambo?
 
Kipi bora, kusema ukweli, au kuendelea kudanganya?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Sababu ni vita ya Ukraine na Uviko 19 kupelekea viwanda vinavyotengeneza vipuri vinavyotumika kutengenezea vichwa hivyo huko nchini Canada kukwama😂

This is Africa
 
Huu mradi wa sgr Jiwe alikurupuka taifa linaingia gharama za mikopo na ujenzi ambao hauna manufaa...
Unamuingiza mtu aliyekufa sasa miaka miwili hajui kinachoendelea.

Huyo kiongozi wako wa sasa anauendeleza huo mradi kwa sababu anaona una manufaa ingekuwa tofauti na hivyo angeusimamisha tatizo aina ya team aliyo nayo watu kama kina Mchemba wazee wa %25 hawawezi kutaka mradi ukamilike coz kila siku wanaingiza ganji zao kupitia hapo.
 
sioni sababu kwa nini mnabishana a kurushiana vijembe!!!, alichokiongea huyu jamaa ni kitu fikirishi, ni ukweli tu ulio wazi kabisa kwamba mzigo kutoka mwanza/kanda ya ziwa ni mchache mno kuifeed sgr vya kutosha. kinachotakiwa hapa ni kuanza kujipanga kuhakikisha mzigo unapatikana.ndizi na dagaa bado ni kidogo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…