Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

Sababu ya kuchelewa imetajwa kuwa ni kitu gani?
Sababu ya kuchelewa ni hii hapa
Screenshot_20220116_171529.jpg
Screenshot_20220116_171558.jpg
Screenshot_20220116_171634.jpg
 
Mimi nitafuatilia wakisema majaribio ya kuwasha umeme wa JNHP maana sasa hali ni tete
 
na hapa ilikuwa imesogezwa tena, hii ni mradi ya 2025
Hata 2025 hakuna mradi kwa sababu Rais fisadi ameshalitangazia Taifa kupitia TV ya Taifa kuwa fedha zitaanza kutafunwa japo wamekuwa wakivimbiwa kwa kutafuna pesa hizo.
 
Back
Top Bottom