Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

Hata kwenye nchi zilizoendelea huwa kuna miradi mingi tu ambayo huchelewa kukamilika, watu wenye uelewa wetu wala hatuoni cha ajabu.
RIP kamanda mpambanaji JPM 💪🏿🤝🏿
 
[emoji577][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588]
Screenshot_20220117_170436.jpg
 
Ngonjera hizi za treni ya mwendokasi tushazizoea........
 
Wanadhani April Ni mbali saaana.
Walianza kusema November 2019
Then wakasema June 2020
Wakasogeza Hadi August 2020
Wakaona isiwe tabu November 2020
Wakabadilisha February 2021
Wakasahau wakarekebisha August 2021
The waziri mkuu akatuhakikishia August 2021
Wakabadilisha November 2021
Wakasogeza mbele February 2022
Kwa uhakika zaidi April 2022.

What makes anybody think that they are saying the truth this time.
Are bus owners and truck owners happy with this development?
 
Back
Top Bottom