Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

Wajitahidi tu umeme usiwe unakatika katika otherwise ipo hatari ya kuwa na rescue team.
 
Serikali imetangaza kuwa majaribio ya treni ya umeme kipande cha Dar es Salaam hadi Morogoro yataanza Aprili 2022. Aidha, sasa treni zitaishia Kilosa kwani tayari kipande cha Morogoro-Kilosa kimeunganishwa.

Ujenzi wa kipande cha Dar- Morogoro ulitarajiwa kukamilika Aprili 2021.

IMG_20220116_190526.jpg
IMG_20220116_190532.jpg
 
Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini!
Mtori unaishaisha nyama tunakaribia kuzila, aisee!
 
Wajitahidi tu umeme usiwe unakatika katika otherwise ipo hatari ya kuwa na rescue team.
ukiwa kwenye treni unakodi na boda backup umeme ukizima unahamia kwenye boda safar inasonga
 
Chukueni mikopo tujenge kwa kipindi kifupi kieleweke.Magu alisema itamalizika muda wa miaka 2,ikawa 3,ikawa 4,ikawa 5,ikawa 6 sasa tunaingia wa 7.Mpaka imalizike kwa kusikiliza akina Ndugai type itachukuwa karne.

Nyerere alichukua mkopo akajenga TAZARA chini ya miaka mitano.Vilevile Uhuru wa Kenya kachukuwa mkopo amejenga reli chini ya miaka 5.
 
Back
Top Bottom