DingiMbishi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2021
- 449
- 647
Mradi una manjegeka sana huukuwa mpole kuwa mpole usishangae wakapeleka mbele tena
Tangu 2020 tunaambiwa majaribio mwezi ujao Leo 2022![emoji1787][emoji1787]Thomaso
Itakuwa delay imesababishwa na msiba wa mkuu wa nchi pamoja na janga la covidSababu ya kuchelewa imetajwa kuwa ni kitu gani?
Round hii mimi nachagua kuwa amini. Maana train ndio zimefika.Tangu 2020 tunaambiwa majaribio mwezi ujao Leo 2022!
Zimeshafika?
Yeah,.. Nadhani wiki moja au mbili picha zitarushwa humu.Zimeshafika?
Kitu gani hicho?kuna kitu nimepata ngoja ni update utaona mkuu
Kitu gani hicho?kuna kitu nimepata ngoja ni update utaona mkuu
na hapa ilikuwa imesogezwa tena, hii ni mradi ya 2025πππ
View attachment 2083850
Hamna jipya.angalia posti namba 30
Hata 2025 hakuna mradi kwa sababu Rais fisadi ameshalitangazia Taifa kupitia TV ya Taifa kuwa fedha zitaanza kutafunwa japo wamekuwa wakivimbiwa kwa kutafuna pesa hizo.na hapa ilikuwa imesogezwa tena, hii ni mradi ya 2025