UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
SGR ni kwaajil ya wanachattle tuu, Na watunza legacy kwa vifaru.Chadema wasiruhusiwe kutumia SGR maana wamempinga sana JPM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwino tena!!!!Huyo jamaa huwa anatoa mawazo kama mgonjwa wa homa ya nonda.Ainikwe!
Zimefika lini mkuu? Zile ulizoziona sio za SGR ni za reli ya zamani
Yap, sisemei zile Loco za Malaysia mkuu. Naongelea mzigo mpya kutoka Korea. Ndani ya wiki mbili wadau watatupia picha humu zikishuka.Zimefika lini mkuu? Zile ulizoziona sio za SGR ni za reli ya zamani
ngoja tuoneYap, sisemei zile Loco za Malaysia mkuu. Naongelea mzigo mpya kutoka Korea. Ndani ya wiki mbili wadau watatupia picha humu zikishuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unazozungumzia wewe tutaanza kuziona baada ya wiki mbiliYap, sisemei zile Loco za Malaysia mkuu. Naongelea mzigo mpya kutoka Korea. Ndani ya wiki mbili wadau watatupia picha humu zikishuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu.Kwahiyo unazozungumzia wewe tutaanza kuziona baada ya wiki mbili
Huyu ametudanganya mengi sana, ndiye alituaminisha kiongozi yupo ofisini anafanya kazi kumbe yu mahututi, tusishangae kuona vifaa vya treni vinauzwa chuma chakavu mtaaniπππ
View attachment 2083850