Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

sasa kwann tufanye majaribio na ambavyo hatutokuja kuvitumia!

Kinachofanyiwa majaribio ni njia ya reli, mifumo yake (umeme, mawasiliano n.k), namna ya uendeshaji 'operations' n.k

Huhitaji kujaribu treni yenyewe, sababu treni yenyewe hujaribiwa na watengenezaji...

Nikuulize tu swali moja, wewe kabla ya kununua gari Japan au kwingineko, huwa unapewa ulijaribu?

cc Ngalikihinja
 
sasa kwann tufanye majaribio na ambavyo hatutokuja kuvitumia!
Majaribio yanayofanyika ni kwa ajili ya kucheck miundombinu kama imekaa sawa na ndio maana wanatumia hicho kichwa ambacho kimsingi ni cha mkandarasi japokuwa kimepitwa na wakati ila project itakavyokaa sawa na kukamilika na kujiridhisha kwamba miundombinu ipo poa kabla ya kukabidhi watafanya majaribio ya mwisho kwa kutumia vichwa na mabehewa husika kwani tayari risk mbalimbali zitakuwa zimeshaondoshwa based na majaribio ya hicho kichwa na serikali itakuwa imeshakamilisha tenda na manunuzi. (ilitolewa ufafanuzi kipindi flani nyuma wakati kimeingia hicho kichwa)
 
Treni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Hiyo speed ni noma, sidhani kama ya kwetu watakuwa wanaipeleka hivyo maana tunaweza kuitungia sheria na kanuni kabisa ya namna ya uendeshaji wake ukizingatia hii tu iliyopo ya mwendo wa jongoo faulo kibao za kugongwa na magari na wananchi kuingilia miundombinu, achilia mbali kusimama vituo vingi
 
Hivyo vichwa ni vya testing tu na vya mkandarasj
Hivyo viichwa siyo tu vya testing pia vinavuta mabehewa na inaenda kwa kasi ya ajabu. Iyo hapo chini ni norway
220px-El18-2243_Finse_2004-07-07.jpg
Bergen-line-NSB-GUBLER.jpg
norway.jpg
 
Back
Top Bottom