Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Mie nataka nione hiyo train ya sgr ya umeme iwe kama nyoka laini ipo chini chini kama Benz aliyozawadiwa mzee ruksa. Sio kitu limepanda rectangular, rough, hapo tunajuana kwani tahitaji nipewe mgao wangu.

Kwanini msilete picha hapa tuone na kushauri? Mnataka kutubwagia liwalo na liwe? Mnaficha nini?
Una kampuni ya consultancy?
 
Mama kasema mtumba kama kawa lazima tutumie hata kama hamtaki! Ambayo siyo mtumba hadi mwaka 2023.
 
Sasa kwanini tufanye majaribio na ambavyo hatutokuja kuvitumia!
Wewe kwani akili zako hazifikirii? Umeshaambiwa majaribio, hicho kichwa kina mitambo mingi ya kupima ubora wa njia na kinarekodi na wataalam wanaifanyia kazi taarifa za hiyo mitambo. Kama Kuna marekebisho wafanye kabla ya kuingiza hiyo train ya mwendo kasi ikiwa na abiria.
 
Hizi ndio ilikuwa zije ila kwa mujibu wa kale kadada kasemaji ka TRC anadai jamaa walifeli ku fullfil contract kwahio wakaamua kumpa order mtu mwengine [emoji23][emoji23][emoji23]! Kwahio kama kupigwa zoezi litakuwa limeanzia hapo kwenye kumpa tender mtu mwengine kwahio tegemeeni suprise tu.

Mwenye mradi wake alituchagulia hio inayoonekana kwenye picha ila alipokufa tu wahuni wamehamisha magoli.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndiye umeandika kitu sahihi.
Kongole kwako.
 
Ang
IIi

I nayo kuja haitoki ulaya, inatoka Korea, wacha ujinga
Angalia vizuri unaweza kuta wewe ndio mjinga. Umeambiwa tutanunu vya mtumba Hao korea inawezakuwa walinunua ulaya wakatumia wakavichoka wakatuuzia sisi kama mtumba sawa.
 
Hilo ni la majaribio la kampuni ya Yerp sio yenyewe
 
Wanaotengeneza hivi hitu wanapoanza hawatengenezi full product. Wanaanza na kitu kinaitwa prototype.. kinakuwa ni for testing kwanza. Zile data wanachukua ndio wanatumia kuendeleza au kuboresha main product.
Huwezi jaribia main product wakat product for testing ipo?
Una raise cost zisizo na maana
Sahihi
 
Back
Top Bottom