Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Navoelewa kicha kinakuaga moto zaidi kuliko kikibeba mabehewa sasa hapo wakikiekea mikia c ndo kitajvuta kama jongoo

Treni ya umeme hai-operate kama treni ya diesel engine...

Kwa msaada zaidi tazama hapa:

 
Train ya SGR Tanzania ni ndoto kwani wenye malori mengi ndio wameshika serikali.
Lakini wangekua na huruma kidogo angalau ile ICD ya vigwaza ikakamilika ili kupunguza congestion barabara ya Kibaha/chalinze.
Sasa hivi ukitoka Mbezi Hadi chalinze utapishana na malori zaidi ya elfu mbili.

Kipande cha mchepuko wa reli ya SGR Mpya kwenda bandarini DSM kinatakiwa kutiliwa mkazo maana hata barabara ya Mandela Road jijini Dar es Salaam hali ni kama hii hapa :



KUKAMILISHA UJENZI WA MFUMO (RAIL NETWORK)/ VIPANDE VYOTE WA RELI MPYA YA SGR KUCHUKUA MIAKA 15:

 
Hizi ndio ilikuwa zije ila kwa mujibu wa kale kadada kasemaji ka TRC anadai jamaa walifeli ku fullfil contract kwahio wakaamua kumpa order mtu mwengine 😂😂😂! Kwahio kama kupigwa zoezi litakuwa limeanzia hapo kwenye kumpa tender mtu mwengine kwahio tegemeeni suprise tu.

Mwenye mradi wake alituchagulia hio inayoonekana kwenye picha ila alipokufa tu wahuni wamehamisha magoli.😂😂😂
Aise ishakula kwetu
 
Watu wanataka treni original itakayo-operate sasa sijui kama mifumo haijakaa sawa ikadondoka au kukatokea hitilafu yoyote itakuaje
Wanaotengeneza hivi hitu wanapoanza hawatengenezi full product. Wanaanza na kitu kinaitwa prototype.. kinakuwa ni for testing kwanza. Zile data wanachukua ndio wanatumia kuendeleza au kuboresha main product.
Huwezi jaribia main product wakat product for testing ipo?
Una raise cost zisizo na maana
 
Mie nataka nione hiyo train ya SGR ya umeme iwe kama nyoka laini ipo chini chini kama Benz aliyozawadiwa mzee ruksa. Sio kitu limepanda rectangular, rough, hapo tunajuana kwani tahitaji nipewe mgao wangu.

Kwanini msilete picha hapa tuone na kushauri? Mnataka kutubwagia liwalo na liwe? Mnaficha nini?
 
Screenshot_20220705-091509~2.png
 
...hata magari serikali ianze kuagiza VX V8 used; itaokoa pesa nyingi sana za walipa kodi.
 
Mlishaambiwa hicho ni kichwa cha majaribio...mbona wagumu kuelewa?

Majaribio yanafanywa na kitu tofauti na kitakachotumika? Au ndo kumaanisha TZ ni kichwa cha mwenda wazimu.
 
Back
Top Bottom