Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sema ukilinganisha na lile Gogo la Mwakyembe ambalo max speed ni 40km/h ni advancement kubwa sana.China si 350 km/hr ndio highest speed ?
Na ata iyo 160 km/hr sio mbaya,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ukilinganisha na lile Gogo la Mwakyembe ambalo max speed ni 40km/h ni advancement kubwa sana.China si 350 km/hr ndio highest speed ?
Na ata iyo 160 km/hr sio mbaya,
Sasa test ya kwanza, mnataka afunguke tuu??? Subirieni show za kibabe zinakuja, hiyo ni SGR 😀😀😀😀Treni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Sijui kwa nini watanzania hatupendi kuwekeza kwenye taarifa!Train ya SGR Tanzania ni ndoto kwani wenye malori mengi ndio wameshika serikali.
Lakini wangekua na huruma kidogo angalau ile ICD ya vigwaza ikakamilika ili kupunguza congestion barabara ya Kibaha/chalinze.
Sasa hivi ukitoka Mbezi Hadi chalinze utapishana na malori zaidi ya elfu mbili.
Muda ni rafiki mzuri sana kwani mbivu na mbichi huja pamoja kwa wakati sahihi.Sijui kwa nini watanzania hatupendi kuwekeza kwenye taarifa !
Lawama zoote hIzi ulizotoa kwa malori ungalikuwa na taarifa sahihi , pengine ungekaa kimya uishangae serikali na maamuzi yake .
If you honestly thought Our sgr , will make impact on lorry operational structure , think again, serkali haikufanya utafiti vizuri juu ya wapi hasa Sgr ingeleta impact , huko ilipoelekezwa hakuna traffic ya mizigo ndo sababu lori zinaendelewa kununuliwa kila uchwao
Dah.. ila ile ya wa Kenya inatumia 120km per hour na sio ya umeme sijui wakiifunga umeme itakuwaje..Sema ukilinganisha na lile Gogo la Mwakyembe ambalo max speed ni 40km/h ni advancement kubwa sana.
Uliona wapi Gari la kujifunzia udereva jipya? Umeambiwa kichwa cha majaribio hicho.Watu wanataka treni original itakayo-operate sasa sijui kama mifumo haijakaa sawa ikadondoka au kukatokea hitilafu yoyote itakuaje
Mpaka uyachape viboko 😀 😀 😀Uliona wapi Gari la kujifunzia udereva jipya? Umeambiwa kichwa cha majaribio hicho
Bora hata New Holland inakimbia kuliko hii takatakaHii ndio iliyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivyo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakati.
View attachment 2279510
Tena hapo inavuta mzigo yetu haivuti hata baiskel mwendo afadhali ya New HollandTreni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Kwa hiyo ikiwa majaribio ndiyo isikimbie?Mlishaambiwa hicho ni kichwa cha majaribio...mbona wagumu kuelewa?
Hakuna kitu kama hicho, lazima utest na kitu halisi, hapo wanaume wamepiga cha kwaoNani amekwambia hicho ni kichwa cha TRC?kila siku ufafanuzi unatolewa bado tuu amuelewi.Vichwa vya SGR vinatengenzwa Korea now.Hicho ni kwa ajili ya majaribio tuu daah.Nenda sabasaba ukapate ufafanuzi kwenye banda lao
Ikimbie kwenda wapi? Hapo ilikuwa I natembea?Kwa hiyo ikiwa majaribio ndiyo isikimbie?
Kwani Umeambiwa hiyo ni Supu?Hakuna kitu kama hicho, lazima utest na kitu halisi, hapo wanaume wamepiga cha kwao
Mpuuzi wewe, huo mwendo utaulinganisha na wa Massey Ferguson 375?Ikimbie kwenda wapi? Hapo ilikuwa I natembea?
PoorKwani Umeambiwa hiyo ni Supu?
PoorKwani Umeambiwa hiyo ni Supu?
Huko SGR inakojengwa Kuna malori mengi Sana yanakwenda huko. Mizigo mingi ya Drc, Rwanda, Burundi na Uganda inapitia central corridor. I still stick to my point kwamba walio wengi Serikalini hawataki hii kitu ifanikiwe.Sijui kwa nini watanzania hatupendi kuwekeza kwenye taarifa !
Lawama zoote hIzi ulizotoa kwa malori ungalikuwa na taarifa sahihi , pengine ungekaa kimya uishangae serikali na maamuzi yake .
If you honestly thought Our sgr , will make impact on lorry operational structure , think again, serkali haikufanya utafiti vizuri juu ya wapi hasa Sgr ingeleta impact , huko ilipoelekezwa hakuna traffic ya mizigo ndo sababu lori zinaendelewa kununuliwa kila uchwao
Ulitaka Ikimbie mile ngapi kwa saa? Kuwahi wapi?Mpuuzi wewe, huo mwendo utaulinganisha na wa Massey Ferguson 375?
Kwa hiyo ikiwa majaribio ndiyo isikimbie?