christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Inataka kufanana kamaile ya Kenya , ila sidhani kama kwetu itakuja kaka ile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidogo nazani wameiadvance kidogo ila ukiangalia speed hicho kichwa pekee bado ni ndogo kuvuta mabehewa mengine speed ya train itakuwa ndogo zaidInataka kufanana kamaile ya Kenya , ila sidhani kama kwetu itakuja kaka ile.
ya kwetu speed mwisho 150 km/hrHii ndoo ilyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakatiView attachment 2279510
Tena mjuaji mavi...Sawa mjuaji
Sawa msemaji !Kinachofanyiwa majaribio ni njia ya reli, mifumo yake (umeme, mawasiliano n.k), namna ya uendeshaji 'operations' n.k
Huitaji kujaribu treni yenyewe, sababu treni yenyewe hujaribiwa na watengenezaji...
Nikuulize tu swali moja, wewe kabla ya kununua gari Japan au kwingineko, huwa unapewa ulijaribu?
cc Ngalikihinja
Hii sio ya umeme inatumia mkaaHii ndoo ilyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakatiView attachment 2279510
Hii ndoo ilyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakatiView attachment 2279510
Hizo ni bullet trains,ni gharama sana kujenga/tandaza "permanent way" na mara nyingi trains hizo ni fupi fupi hazibebi mabehewa mengi.Treni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Dah ni majaribio tu.....tuendelee kuamini Mama hajachakachua mradi Kama ule wa Mwendokasi Kimara - Kibaha 🤣🤣🤣🤭Hii ndoo ilyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakatiView attachment 2279510
Mada ni ya kiswahili mkuu, "engine" ni nini kwenye mada ya kiswahili mkuu? kama "kichwa" tunalazimisha, tupe neno la kiswahili la "engine" au "locomotive engine" tujifunze mkuu wengine usafiri wa garimoshi tumeutumia sana na itasaidia kuacha kulazimisha nenoKichwa ndiyo nini? Sema*engine"
Mambo mengine mnalazimisha bure
Kwa umeme huu wa kuunga unga mabasi yatakua yanaenda kuokota abiria huko maporini.
Halafu hii ya wenzentu kitu inateleza tu. Lkn hiyo yetu kochokocho nyingi hatari.Treni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512