Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Mwenzenu nauliza tuu, kile kichwa cha treni kilichokuwa kinajaribishwa, ndio kitakuwa kikiburuta behewa zetu kwenye njia ya SGR au ilikuwa iñasafirishwa kuelekea nchi jiràni..?

Kama ni ya kwetu, basi hakuna maana ya kutumia njia ya Umeme, Kwa mwendo ule, halafu inatumia Umeme?

Hapana aisee!
 
hivi elimu ya spidi ya treni ya umeme imeshatolewa? maana raia wa bush na ng'ombe wataisha ikianza!!
Kimara to Kariakoo huwa ni kama one to two minutes!!
Walisema wataweka vizuizi sehemu kubwa ya mradi pia kwenye sehemu zenye muingiliano wa magari na reli kutakuwa na kivuko cha juu ama chini na uzio pia. Waliofanikiwa kuona huo mradi wa Dar - Morogoro watueleze hali itakuaje.

Kibongobongo huenda speed ikawa adjusted maana kwa wanasiasa wetu watapambana isimame kila sehemu, za wenzetu naona ni "city to city" na "nation to nation"...chaaaaaaa Moro hiyo,chaaaaaa Dodoma hiyo. Walisema speed yake ni 160km/hr ambapo Dar to Moro ni Dakika 90
 
Umeambiwa iko kwenye majaribio unataka iende kasi ili iweje iyo ni kama gari unaongeza speed ukitaka sasa dereva kaamua kutumia speed iyo
Mkuu, wadau wengi wakisikia treni ya umeme wanataka waione inatoka nduki wakati hapo wanafanya majaribio ya mfumo mzima ili kuweza kusikilizia wajue wapi warekebishe ili sasa wakijiridhisha ndo kitu kitoke nduki kwa speed ile inayotakiwa kulingana na miundombinu iliyopo
 
Sikujua kama JF home great thinkers ina host mambumbumbu kiasi hiki, ishakuwa sasa facebook hii, simu unayo bando unalo basi google taarifa hizo, google hata ujue majaribio huwaje acha kutusumbua
 
Uko sahihi ila humu kuna team Machame ambayo inagangaika na topic zisizo tija

Zamani wamama wa kimachame walikuwa wanuhusishwa kuwaua wanaume zao,nikawa najiuliza kwa nini wawaue,Nimekuja gundua kwanini walikuwa wanawaua.
Humu wanaume wa kimachame wanachuki na roho mbaya,Yaani wao ni kupinga kila kitu.
 
Treni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Kwahiyo ulitaka Treni ya majaribio iende kwa kasi kama Treni ambazo zimeshakua approved na safety standard na zimesha anza operation? Unajua maana ya majaribio?

Ikienda kwa kasi na kama ikatokea tatizo si ajabu wewe ndio utakua wa kwanza kukimbilia JF na kuanzisha thd ya malalamiko,

Vitu vingine ni vya kitaalamu msiwe mnakimbilia kulaumu vitu kisa tu unamiliki smart phone,una bando na una access ya kuingia JF.
 
Sikujua kama JF home great thinkers ina host mambumbumbu kiasi hiki, ishakuwa sasa facebook hii, simu unayo bando unalo basi google taarifa hizo, google hata ujue majaribio huwaje acha kutusumbua
Kwa hiyo JF ifungwe? Embu niambie kitu gani kipo JF au utakiulizia huku JF na wakati huo huo hakipo huko 'GUGO".??
 
Back
Top Bottom