Navoelewa kicha kinakuaga moto zaidi kuliko kikibeba mabehewa sasa hapo wakikiekea mikia c ndo kitajvuta kama jongoo
Train ya SGR Tanzania ni ndoto kwani wenye malori mengi ndio wameshika serikali.
Lakini wangekua na huruma kidogo angalau ile ICD ya vigwaza ikakamilika ili kupunguza congestion barabara ya Kibaha/chalinze.
Sasa hivi ukitoka Mbezi Hadi chalinze utapishana na malori zaidi ya elfu mbili.
TeteteteteKamanda, speed sio sehemu ya test...
Hiyo treni ya sumaku haitumii hata umeme.Treni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Kwani wewe ni mtaalamu wa usafiri wa reli?Watu wanataka treni original itakayo-operate sasa sijui kama mifumo haijakaa sawa ikadondoka au kukatokea hitilafu yoyote itakuaje
Maelezo niliyoona yanasema design speed yetu ni 160km/hr. Sio mbaya ukichukulia Treni zetu za kawaida (TRC & TAZARA) hazivuki km 100 kwa saa.Ila hii ya kwetu ina support mpaka speeds za 250km/h
Aise ishakula kwetuHizi ndio ilikuwa zije ila kwa mujibu wa kale kadada kasemaji ka TRC anadai jamaa walifeli ku fullfil contract kwahio wakaamua kumpa order mtu mwengine 😂😂😂! Kwahio kama kupigwa zoezi litakuwa limeanzia hapo kwenye kumpa tender mtu mwengine kwahio tegemeeni suprise tu.
Mwenye mradi wake alituchagulia hio inayoonekana kwenye picha ila alipokufa tu wahuni wamehamisha magoli.😂😂😂
Wanaotengeneza hivi hitu wanapoanza hawatengenezi full product. Wanaanza na kitu kinaitwa prototype.. kinakuwa ni for testing kwanza. Zile data wanachukua ndio wanatumia kuendeleza au kuboresha main product.Watu wanataka treni original itakayo-operate sasa sijui kama mifumo haijakaa sawa ikadondoka au kukatokea hitilafu yoyote itakuaje
Hii sasa balaa, Serikali na mimi wote tunainama kuchagua mitumba! Ile kanuni ya manunuzi ya vifaa vya Serikali inayokataza kununua vitu chakavu iliondolewa? Au tunatumia upenyo wa kutokuwepo kwa katiba nchini.
Business as usualHii ndio iliyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivyo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakati.
View attachment 2279510
Kabisa... hata magari serikali ianze kuagiza VX V8 used; itaokoa pesa nyingi sana za walipa kodi.
Mlishaambiwa hicho ni kichwa cha majaribio...mbona wagumu kuelewa?
I nayo kuja haitoki Ulaya, inatoka Korea, wacha ujingaTreni itakayo kuja ilitumika huko ulaya miaka ya 70
Kwani wewe utaalamu wa reli ulisomea wapi?Majaribio yanafanywa na kitu tofauti na kitakachotumika? au ndo kumaanisha TZ ni kichwa cha mwenda wazimu