Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Una kampuni ya consultancy?
 
Mama kasema mtumba kama kawa lazima tutumie hata kama hamtaki! Ambayo siyo mtumba hadi mwaka 2023.
 
Sasa kwanini tufanye majaribio na ambavyo hatutokuja kuvitumia!
Wewe kwani akili zako hazifikirii? Umeshaambiwa majaribio, hicho kichwa kina mitambo mingi ya kupima ubora wa njia na kinarekodi na wataalam wanaifanyia kazi taarifa za hiyo mitambo. Kama Kuna marekebisho wafanye kabla ya kuingiza hiyo train ya mwendo kasi ikiwa na abiria.
 
Wewe ndiye umeandika kitu sahihi.
Kongole kwako.
 
Ang
IIi

I nayo kuja haitoki ulaya, inatoka Korea, wacha ujinga
Angalia vizuri unaweza kuta wewe ndio mjinga. Umeambiwa tutanunu vya mtumba Hao korea inawezakuwa walinunua ulaya wakatumia wakavichoka wakatuuzia sisi kama mtumba sawa.
 
Hilo ni la majaribio la kampuni ya Yerp sio yenyewe
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…