Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

Kwani kigumu hapo ni nini maana moto na bomoabomoa havihusiani kabisa,cha msingi arudi kwa mganga wake wayajenge kwani inaonekana amekuwa mbishi kuwapatia wazee damu
 
Unachekelea mitihani ya mwenzio? Typical looser. Amini, atasimama tena.
 
Hii roho ya kuzimu huwa mnatoa wapi wenzetu? Mbona mi hata nikijitahidi kuitafuta siipati?
 
Kilichokufanya ukenue ni nini wewe hasidi?
 
Ukisikia jini kisirani limekudondokea ndo hii sasa
 
Kuna mama alikuwa akiimba mtaisoma namba.Akatumbuliwa vyeti feki ajakaa sawa akachezea hasira za jiwe kimara kubomolewa nyumba yake.
Yaani alipigwa two in one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…