TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
- #21
adui muombee njaa🙄🙄Kwa hizo emoji inaonesha kwa kiasi gani uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo, lakini zaidi ya yote acha roho mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adui muombee njaa🙄🙄Kwa hizo emoji inaonesha kwa kiasi gani uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo, lakini zaidi ya yote acha roho mbaya.
Unachekelea mitihani ya mwenzio? Typical looser. Amini, atasimama tena.Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa.
Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa anatupiga fiksi...Hizo imoji za kucheka zinaashiria nini..kama sio unafiki?
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii roho ya kuzimu huwa mnatoa wapi wenzetu? Mbona mi hata nikijitahidi kuitafuta siipati?Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa.
Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Strange indeed.Mbona kama umeandika kwa furaha?
Au no utani tu
Kuna watu wana shidaDuh!
Nilikuwa nakufuru kumbe yangu ni madogo
Kweli tushukuru kwa kila jambo
Kilichokufanya ukenue ni nini wewe hasidi?Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa.
Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa huenda ametunga. Sidhani kama kuna ukweli wa hii habari. Anyways hata kama katunga inaonyesha ubongo wake ulivyojaa chuki.Hii roho ya kuzimu huwa mnatoa wapi wenzetu? Mbona mi hata nikijitahidi kuitafuta siipati?