Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

Hawana team hilo ndio hitimisho langu.

Kazi kubwa ya vyombo vya usalama ni kufanya risk analysis,

Watu ambao waliofanya 360 risk analysis, wasingempa nchi Samia.

Na keshawatenda, liko wazi mama anatamaa na kaitumia katiba kuwanyoosha.

Somo kwao ni kujifunza, katiba aiwezi kuwa kikwazo in the future. Maana ‘bi-tozo’ kawatia adabu kabadiki DGIS mpaka kampata anaemfaa. Katimua maafisa wote wa Ikulu kaweka wake.

Bi-Tozo kavuruga usalama kuhakikisha anabaki post 2025 sio mzaha.

Sasa hilo liwe somo kwao, madaraka ya raisi yakimkuta mtu mwenye tamaa ni shida.
 
Ili katiba isiwe kikwazo in the future lazima ibadikishwe iruhusu such flexible changes
Mabeyo played ubder rules zile zil3 za katiba else angekuwa ameasi kiapo, na nafasi yake. Hiyo ni serious allegation jeshini = uhaini, So ingekula kwake zaidi kuliki viongozi
I served there so najua decision making system nzima ya jesh ikoje mpaka at the top

HAkuna predictor wa kiongozi mzuri nchi hii. Rais wa sasa alianza vizuri then imekuwaje leo?

It seems like tatizo si watu, tatizo ni chama. Hata kama ulikuwa na good intention ukiingia huko unabadilika au unabadilishwa na mazingira
 

“Hard times create strong men. Strong men create good times. Good times create weak men. And, weak men create hard times.”​

 
Ndio maana tunawaambia, mkuu uwapelekee salamu na wenzako.

What do you think an analyst does?

Kazi ya analyst ni ku-anticipate what’s likely to happen given the factors and risks associated with the decision (preventive measures) na shughuli nyingine (sio za topić husika).

Had they anticipated risks za kumpa nchi Samia kwa uwezo wake labda risk ni 40%, uwezi laumu. Iła huyu mama alivyovuruga usalama ata kama hawakutemea wanaweza kubali raisi wa nchi abaki na madaraka hayo.

Kufanya kosa sio kosa, kurudia kosa ndio kosa.

Ingelikuwa mimi ningeshauri Samia, asipewe nchi; kwanini?, story ni ndefu.

Lakini somo hapo mamlaka ya raisi lazima yapunguzwe, kubali au kataa; huyu mama katumia madaraka yake kuvuruga usalama.

I know that for that certain (kwa ushauri watu wenye tamaa ndani ya CCM) akili hizo yeye mwenyewe hakuwa nazo.
 
Katiba ilielekeza apewe na alipewa

Mahaba yako peleka Kwa mumeo

Tukiendesha nchi kihisia badala ya principles tutakua Kama drc
Correct why 5 years and why the failed 😕
 
Sitaki kuamini amevuruga usalama while hakuwa kama JPm same alishindwa au alikuta ganda la ndizi?
 
Mupo nauliza mupo.... Rwanda anatufanya kitu mbaya huko goma aibu aibu jaman...
 
Kongo leo Tz wanafanywa manamba JW? Mlipeleka watoto wa mjomba Tz kweli Jw wanakimbia
 
Tatizo la nchi yetu kwa sasa Jeshi limegeuzwa kuwa ajira. Huwezi pata uzalendo kwa mtu mwenye nadhalia ya kuwa Mwanajeshi ni ajira, ukimpeleka mtu Vitani mtu mwenye mawazo ya ajira Jeshini mmejimaliza kama Taifa. Hapa tulipo fika lazima Viongozi wetu wabadilike ili waokoe Taifa.
 
Achana nao, na hivi wana kinga watakuua buree kwa lujaribu kuwashauri
 
Kumbe ni shabiki wa Lisu
Umenifurahisha mwanzo wa siku
 
Eti unashangaa wengi wa wanajeshi wanatamani kupelekwa sehemu zenye changamoto si kwa sababu ya Uzalendo kwa Taifa lake, bali akirudi atakuwa na fedha za kutamba baa. Kwa nini wasikimbie kwa staili hiyo?!
Tuna kazi kubwa sana kama Taifa kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…