Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina.
Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi kimechapisha video iliyokusanya matukio kadhaa ikimuonesha raia wa Ukraine wa kike kwa jina la Natalya Vovk akiingia Urusi na mtoto wake wa kike (teenager), akiingia pia kwenye jengo alilokuwa akiishi Darya (mwandishi wa habari aliyeuawa), kisha ikimuonesha akiondoa kwa haraka mno mara baada ya bomu kulipuka na kumuua Darya.
Binti huyo muuaji aliingia Urusi July 23 akiwa na gari lenye number plate ya Jamuhuri ya Watu wa Donetsk (ili kukwepa kuchunguzwa zaidi), alipokuwa Urusi akabadili na number plate ya Kazakhstan, nchi rafiki ya Urusi. Baada ya shambulio, siku ya jumapili (19 August) akaondoka Urusi kuelekea Estonia akitumia number plate ya Ukraine. Binti huyo ni askari ktk kikosi cha neo-Nazi Azov Regiment.
Ikumbukwe kuwa Ukraine iliwahi kujitenga haraka haraka na shambulio hilo baada ya kutokea.
====
Update 29 Agust, 2022
Gaidi Namba 2 kwenye team ya wauaji wa Darya atambuliwa
www.jamiiforums.com

Majasusi wa Urusi (KGB) wamtambua gaidi No. 2 wa ki-Ukraine aliyehusika kumuua Darya Dugina huko Urusi
Marekani yasema kuwa majasusi wa Urusi (FSB) wamemtambua gaidi No. 2 aliyekuwa kwenye team ya mauaji ya binti mwandishi wa habari wa Urusi Darya Dugina huko Urusi. Gaidi huyo ametajwa kuwa ni Bogdan Tsyganenko, m-Ukraine wa kiume mwenye umri wa miaka 42 ambaye aliingia Urusi kupitia Estonia...