Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Na hapa ndo pa kuweka question mark?! Kwanini Mzee abadili gari dakika za Mwisho?! Au kamtoa kafara Dogo?!Inasemekana walilenga kumuua baba yake huyo binti ambaye ni rafiki na mshauri wa putini walitumia gari moja na binti yake kwenda kwenye festival huko Moscow. Inasemekana wakati wa kuondoka mzee alitumia usafiri mwingine then binti ndio akakutana nacho