Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Inasemekana walilenga kumuua baba yake huyo binti ambaye ni rafiki na mshauri wa putini walitumia gari moja na binti yake kwenda kwenye festival huko Moscow. Inasemekana wakati wa kuondoka mzee alitumia usafiri mwingine then binti ndio akakutana nacho
Na hapa ndo pa kuweka question mark?! Kwanini Mzee abadili gari dakika za Mwisho?! Au kamtoa kafara Dogo?!
 
Jasusi hata akikamatwa inafanywa Siri,anaminywa kende mpaka aseme kila kitu na mwishowe anakuwa neutralized!Huko Iran,wameshakamatwa majasusi wengi tu,Kuna wamarekani na waingereza wameshakamatwa Iran Kwa ujasusi!Sema Huwa wanalipa price kubwa,Tena hao ni wale ambao wamejisikia kutangaza!Vipi wale ambao wanaminywa kimya kimya?

Hata huko Jerusalem na Tell Aviv,wapalestina walishaingia na kuua waisrael!
Hahahaha yaani Iran ikamate jasusi la Israel halafu ikae kimya.

Israel imeanza kuua wanasayansi ya nuclear wa Iran tangu Muongo uliopita,je kuna agent hata mmoja alidakwa?!
Wakamuua Yule jamaa anayejulikana kama Baba wa nyuklia wa Iran kwa kutumia satellite machine gun.
Wakaiba maelfu ya nyaraka zenye taarifa kuhusu nuclear program ya Iran.
Wakalipua kituo cha nyuklia cha Natanz na operation nyingine kibao,vipi Iran wamefanikiwa operation gani hata ya kulipa kisasi dhidi ya Israel?!
 
Ndio nimekwambia,hata Israel watu wanaweza kuingia na kufanya Yao,huko Jerusalem,Karibu na ubalozi wa US bomu limelipuliwa na kujeruhi wamarekani 5 na waisrael kadhaa,mwaka huu huu!
So nakushangaa unapoidharau Russia kisa jasusi ameenda na kumtegeshea bomu mtangazaji ambaye hana hata ulinzi na anakatiza mitaa mwenyewe!Yaani huyo hata haikuwa na haja ya bomu,hata kisu tu unamuondoa kirahisi,Tena ni kibinti!
Chukua hii,si unasema majasusi ya Israel Huwa hayakamatwi?On attachment
 
Attachments

  • Screenshot_20220822-233649.jpg
    Screenshot_20220822-233649.jpg
    84.2 KB · Views: 5
Mrembo kaingia Moscow na namba za Donetsk, kapiga show na namba za Kazkhastan, kasepa na namba za Estonia! Halafu FSB wamelala usingizi wa pono! Huyu ni "nyoka"; akili nyingi sana!
Angekuwa nyoka,asingeacha trace,hapo ataishi kama digidigi maisha yake yote!Au hata hao waliomtuma wanaweza kummaliza Ili asijepatikana!Hapo Kuna akili?
Binti mwenyewe ni mtangazaji,hana ulinzi!Anauwawa vipi Kwa bomu?Huyo Ilikuwa hata Kwa kisu au poison tu!
 
Ndio nimekwambia,hata Israel watu wanaweza kuingia na kufanya Yao,huko Jerusalem,Karibu na ubalozi wa US bomu limelipuliwa na kujeruhi wamarekani 5 na waisrael kadhaa,mwaka huu huu!
So nakushangaa unapoidharau Russia kisa jasusi ameenda na kumtegeshea bomu mtangazaji ambaye hana hata ulinzi na anakatiza mitaa mwenyewe!Yaani huyo hata haikuwa na haja ya bomu,hata kisu tu unamuondoa kirahisi,Tena ni kibinti!
Chukua hii,si unasema majasusi ya Israel Huwa hayakamatwi?On attachment
Hua wanakamata wairan wenzako waliowahi kushirkiana au kutumiwa na mossad (halafu wakija kwenye media wanajikwambafai) sijawahi ona Iran kamkamata mossad agent aliyefanya tukio.
 
Hata mimi nimejiuliza huenda mzee alikua ameshajua tayari
Tukiweka ushabiki pembeni kuna kitu hakipo Sawa

Kwanza,kwann Baba abadilishe gari dakika za Mwisho

Pili,imekuaje FSB wamesolve hiyo case haraka hivyo,yaani ndani ya saa24 case ngumu kama hiyo iwe solved

Tatu,Ukraine itafaidika na nn iwapo kweli wameamua kumuua huyo bidada au walikua wanataka tu kutuma message kwamba na Sisi tunaweza kukufanyizia mpaka nchini mwako

Nne,Kwanini huyo agent aache kitambulisho chake hotelini?!

Hapa kuna kitu hakipo Sawa,ngoja tuupe muda nafasi kitajulikana tu
 
Sasa hapa si unaaibisha mabwana zako wewe Sikirimimimasikini .

Yani mwanamama kaja kapiga na kaondoka wao wamelala usingizi? Siku nyingine atawatia vidole kabisa kuweni makini
Hivi Osama alivyowapiga tukio US,iliwachukua muda gani kumpata?Vifo zaidi ya 2000 Kwa siku Moja!
Mambo mengine acheni porojo!
Huyo Binti aliyeuwawa ni mwandishi na anaishi maisha ya kawaida kabisa,hana ulinzi!Kwanza ni aibu kumuua Kwa bomu,ni kama kuua sisimizi Kwa nyundo!
 
Angekuwa nyoka,asingeacha trace,hapo ataishi kama digidigi maisha yake yote!Au hata hao waliomtuma wanaweza kummaliza Ili asijepatikana!Hapo Kuna akili?
Binti mwenyewe ni mtangazaji,hana ulinzi!Anauwawa vipi Kwa bomu?Huyo Ilikuwa hata Kwa kisu au poison tu!
Ataishi na Kula bata km lote akiwa New York na hakuna kitu Putin atafanya
 
Hua wanakamata wairan wenzako waliowahi kushirkiana au kutumiwa na mossad (halafu wakija kwenye media wanajikwambafai) sijawahi ona Iran kamkamata mossad agent aliyefanya tukio.
Mimi nimekupa taarifa ya hao waliokamatwa ambao ni majasusi wa Mossad!Taarifa yote inasema Iran imeficha majina na uraia wao!
Sasa ni juu Yako kuelewa au kutokuelewa!
Osama alipiga tukio US,akaangusha watu zaidi ya 2000 Kwa siku!Intelejensia Ilikuwa wapi?
Sembuse Kwa Russia ambapo mtu ameingia anaenda kuua kabinti ambako hakana hata ulinzi?Kuwwni serious!
 
Umeona Newyork ndio salama sana eeeh?Huko huko New York,Osama aliwadungua zaidi ya wa US 2000 Kwa siku Moja!
Kama aliyefanya Huo uhalifu hatauwawa,ajiandae kuishi kama digidigi!
Huyo hawampati Mkuu Labda waanzishe WWIII watulipue dunia nzima kisa hicho kibinti kimoja
 
Back
Top Bottom