4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kweny hili umeonesha akili kubwaTukiweka ushabiki pembeni kuna kitu hakipo Sawa
Kwanza,kwann Baba abadilishe gari dakika za Mwisho
Pili,imekuaje FSB wamesolve hiyo case haraka hivyo,yaani ndani ya saa24 case ngumu kama hiyo iwe solved
Tatu,Ukraine itafaidika na nn iwapo kweli wameamua kumuua huyo bidada au walikua wanataka tu kutuma message kwamba na Sisi tunaweza kukufanyizia mpaka nchini mwako
Nne,Kwanini huyo agent aache kitambulisho chake hotelini?!
Hapa kuna kitu hakipo Sawa,ngoja tuupe muda nafasi kitajulikana tu