kweny hili umeonesha akili kubwaTukiweka ushabiki pembeni kuna kitu hakipo Sawa
Kwanza,kwann Baba abadilishe gari dakika za Mwisho
Pili,imekuaje FSB wamesolve hiyo case haraka hivyo,yaani ndani ya saa24 case ngumu kama hiyo iwe solved
Tatu,Ukraine itafaidika na nn iwapo kweli wameamua kumuua huyo bidada au walikua wanataka tu kutuma message kwamba na Sisi tunaweza kukufanyizia mpaka nchini mwako
Nne,Kwanini huyo agent aache kitambulisho chake hotelini?!
Hapa kuna kitu hakipo Sawa,ngoja tuupe muda nafasi kitajulikana tu
Ndio utajua Kuna majasusi wajinga duniani.Naombeni kujuzwa huyo binti aliyeuawa (mwandishi wa habari) alikuwa anapose threat gani kwa Ukraine mpaka wakaamua kufanya mission ya kibabe namna hiyo ya kumuua tena kwa bomu!?
Kuna jambo gani ambalo Ukraine walitaka kulizima kwa kumuua huyo bidada
Urusi anaua watu wenye ulinz huko Ukraine ?Hivi Osama alivyowapiga tukio US,iliwachukua muda gani kumpata?Vifo zaidi ya 2000 Kwa siku Moja!
Mambo mengine acheni porojo!
Huyo Binti aliyeuwawa ni mwandishi na anaishi maisha ya kawaida kabisa,hana ulinzi!Kwanza ni aibu kumuua Kwa bomu,ni kama kuua sisimizi Kwa nyundo!
nchi yako imekamata wangap kwa wale wa kitay , je hawakuja na raman nzima ya mashambulio yao ?Walishindwa nini kumdaka?
Mkuu Kyiv watu wanasherekea uhuru wa Nchi yao wakipiga picha kwenye vifaru vya Russia vilivyosulubiwa ni Stinger za US via Ukrain na Mrusi akatoka nduki kurudi zake Donbas., mpaka leo Mrusi anaiona kahawa KyivHapo Ukraine kajipalia Kaa la moto,huko Kyiv watu washaanza kuondoka!Kifuatacho kitawafurahisha Kyiv!
nchi kama Urusi cctv kila sehem so muhimu ni mission kukamilika na insh ya kushikwa ni ngumu sana tofaut na akili zenu zinavyowaza has kwa kipindi hiki cha mvutano wa wakubwa , kila nchi ya ulaya imejiimalisha sana ki intellinjensiaMaana yake mnajua kinaenda kuuwawa Kwa kufanya kazi kizembe mpaka kujulikana!
Da umechambua kama makada wa chama tawala walivyokiabwakichambua juu ya shambulio la mwanasiasa machachari katika nchi ya Mwalimu.Ni vigumu kukubali kuwa Natalya ndiye hitman kwan aliingia Russia July akiwa na mtoto wa miaka 12. Ni kikosi gan kitampeleka Hitman nje ya nchi akiwa na mtoto?
Kama nia ni kumuua baba mtu ilikuwaje apange kwenye ghorofa anakoishi mtoto?
Ilikuwaje kwa haraka sana urussi ikajua each and everything about Natalya....
Hiyo ni internal job yaan Natalya ametumika na Warusi to silance warusi wenye misimamo mikali wanaokosoa Russia kushindwa kuiteka Ukraine yote mpaka leo.
Ultra nationalist Russians wanalilaumu jeshi kutokuonesha viwango walivyotarajia now to silance them wamemla kichwa huyu binti ili kuwafanya wawe na uchaguzi wa maneno wakati wakikosoa utendaji wa jeshi.
Natalya anafanya kazi kwa niaba ya Russia
Unajua Ugaidi ni mbinu za watu dhaifu dhidi ya wenye nguvu?Conspiracy zitaendelea Tu ndani ya Russia kama ilivyo Kwa marekani baada ya hii vita hawalala Kwa Amani kilasiku ugaidi utafanywa kila Kona ya Russia..
Alafu ugaidi unaofanyika ndani ya Russia unafadhaliwa na nchi zote za magharibi tofauti na marekani anayepambana na waarabu kwasababu mwarabu ni Rahisi kudili Naye, kumbuka ugaidi huu unaofanyika Russia upo chini ya mossad, CIA,M16 na mashirika yote ya kijasusi ya magharibi
Mission kukamilika wakati unaambiwa target hakuwa huyo Binti?Kwanza huyo Binti ni mwanahabari tu aliyekuwa anaishi maisha ya kawaida sana!nchi kama Urusi cctv kila sehem so muhimu ni mission kukamilika na insh ya kushikwa ni ngumu sana tofaut na akili zenu zinavyowaza has kwa kipindi hiki cha mvutano wa wakubwa , kila nchi ya ulaya imejiimalisha sana ki intellinjensia
Unadhani Urusi anashindwa kurusha missiles Kyiv isikalike?Mkuu Kyiv watu wanasherekea uhuru wa Nchi yao wakipiga picha kwenye vifaru vya Russia vilivyosulubiwa ni Stinger za US via Ukrain na Mrusi akatoka nduki kurudi zake Donbas., mpaka leo Mrusi anaiona kahawa Kyiv
kuvamia Ukraine sio uhalifu ?Hata kama Yuko upande wa NATO ni mhalifu kama wahalifu wengine,nchi atakayopatikana itaombwa imtoe ashitakiwe.
Kama nchi ikikataa maana yake nchi hiyo inaunga mkono vitendo vya kigaidi.
Na Ugaidi ni dhambi kubwa sana kwa nchi za NATO.
Sasa hapo ndiopo mzani utakapokataa kubalance.
Nakumbuka Skipal,yule Mrusi na Binti yake waliopewa sumu huko London.
Lkn bahati hawakufa.
Wacha tuone.
kwan ccm haijawai kuja na taarifa za tukio , huwa wanakuwa hawajamaliza kaz ? angalia mvt za huyo dada ndo ujue anaelewa anachofanya sio mpuuz km wwNdugu yangu ,usitake kupoteza muda wako Bure,
FSB wameshamaliza kazi,wameshapata details zake zote.wameshajua Kila kitu kinachomhusu.
Usifikiri FSB ni Akina Siro kuwa wanasubiri mpaka wampate dereva wa Lisu ndio wamjue aliempiga risasi.
Usijaribu kupotosha,Wala FSB sio wapotoshaji
Kama wale wa kusema CDM ndio waliompiga mtu wao na vyuma.
Hapa kwa FSB upele umepata mkunaji.
akil zako fup , yaan kwa kipind hiki wamtelekez ashikwe atoe plan yote ilikuwaj ili Urusi aijue mianya ya maadui zake ? Huyo dada anajua ving vya ndan ya Urus has waliomsaidia kufanya tukio maana huez ingia nchi ya watu ukawa na connection za usajili wa magar kwa haraka hivyo wapo watu wamemsaidia bila kusahau hilo bomu huenda kalitoa Ndan ya Urusi maana sizan kama ametembea umbali wote huo ndan ya urusi bila barrier kumkagua so huyo dada haez achwa mtaan kama akili zako zinavyokutumaMe namuonea huruma mtoto wake huyo mama kama hatouliwa na waliomtuma ataishi kwa tabu sana mpaka warusi mdake,,,!
Alijaribu alipovamia Ukraine akashindwa na kutokomea zake DonbasUnadhani Urusi anashindwa kurusha missiles Kyiv isikalike?
Urusi anaweza kushambulia Kyiv akiwa Donbas au hata akiwa ndani ya Urusi!Sasa wewe unaleta porojo gani?Alijaribu alipovamia Ukraine akashindwa na kutokomea zake Donbas
Si wajeda wa Ukraine wanawatumia kama ngao!Urusi anaua watu wenye ulinz huko Ukraine ?