Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi


Sema Wewe Baba akisema GENTAMYCINE anaonekana ana Chuki na Mfitinishi. Mtazuga sana kwa kusema kuwa siyo Majasusi lakini na nyie tambueni kuwa hata hao Malawi na wao tokea ila Diplomatic Row ya miaka mitatu minne iliyopita na Wao pia walijiimarisha sana Kiulinzi na Kiusalama hivyo kukataa kuwa hao waliokamatwa siyo Majasusi ni Ujinga kama siyo Upumbavu uliopitiliza.

Moja ya Kanuni kubwa ya Kijasusi ambayo niliisikia tu katika Vijiwe vya Kahawa inasema kuwa NEVER UNDERESTIMATE YOUR OPPONENT EVEN IF YOU'RE THE STRONGEST AND GIGANTIC. Sijui kwa hawa wa Kwetu Tanzania hii waliisahau au labda haiwahusu!
 

Huenda na Ben Saanane akawa huko!
 
Cna cha kuongezea kumbe tayari ulishabandika bandiko liweke bhas iliwatu wafaidi unajua ili watu wajue kama alivotoa document .Nkanga chief ..ibakie historia mkuuu
 
Sidhani kama inavyo aminishwa na watu kwamba ni wale majasusi wabobezi wa kazi.Kama ni kweli kuna watz wamekamatwa wakifanya ujasusi Malawi basi nafikiri ni wale vijana wetu wa SUUK walikua field.
 
Sidhani kama inavyo aminishwa na watu kwamba ni wale majasusi wabobezi wa kazi.Kama ni kweli kuna watz wamekamatwa wakifanya ujasusi Malawi basi nafikiri ni wale vijana wetu wa SUUK walikua field.

Kwahiyo Malawi wamekurupuka tu Mkuu? Ila kwa mfano ingekuwa Rwanda labda ndiyo ingekuwa kweli Mkuu au? Nasubiri jibu lako kwani yaonekana Wewe ni Mbobezi.
 
Wamejuaje ni majasusi! au ndio Bifu....sio wanakamata watu wetu kwa kisingizio cha ujasusi.....
 
Jambo siriasi kama hili watu wanalichangia kwa utani utani, hivi hamjui kuwa 'DECEPTION IS A WEAPON TO EVERY WAR'. Malawi ni nchi wala isichukuliwe kirahisi sana kiasi cha kutokuwa na wasiwasi wakati WASIWASI NDIYO AKILI YA KIUSALAMA. Naipenda Tanzania yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…