Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

Wachinjwe tu...tabia za kispy hatupend sisi...tena wanabahat maana wangekamatwa na boko haram wangechnjwa kabsaa....
Akili yako imeoza! Ungekuwa karibu yangu ningecheza na mavi yako jinga sana wew
 
Unaweza nisaidia tafsili ya hayo maneno kwa kiswahili(yenye rangu nyekundu)
Maana umeniacha na ninataman sana kuelewa
 
kukamatwa majajusi 8 tena kwa pamoja..??..hii si lakupendeza kwa idara usika...
ngoja tusubiri maagent wa kumwaga humu watatuambia.....
 
Kweli kabisa JF imepoteza credibility. Imegeuka kijiwe cha wahuni
 
Ninachojiuliza wamekamatwaje wote pamoja,
hata mimi kweli najiuliza hao hamajasusi kweli inamaana hata lugha za wamalawi hawazifahamu maana inakubidi uwe kama wao kiuhalisia na kiasili
 
Kinachoondoa uhalisia wq suala zima ni majasusi kupeleleza kwa jirani wakiwa kwenyr kundi.

Hii inawezekana tu kama wangeenda kama watafiti au watalii. Na kwa jinsi hiyo wasingekamatwa maana mamlaka za malawi zingetaarifiwa na wao wangesindikizwa kwenda eneo husika.

Kwamba wamevamia eneo sensitive kama hilo wakiwa kundi mchana kweupe pasipo wenyeji kuwa na taarifa ndiyo inatia shaka.
 
Walifuatana kama nyumbu au ni nini hasa.Hajwezekani wakawa majasusi tena waliobobea ! Labda recruits.
 
Mawazo yameheshimiwa Mkuu, ila kuna kitu lazima ujifunze mambo Haya kiundani sana, weakness yako kubwa ni Ku JUDGE haraka bila kuwa na ushahidi wa kina.

Tafuta kuna Uzi uko humu toka jana angalau aliyeuleta alileta habari yote ilivyoandikwa.

Wewe unachokifanya hapa ni kuleta Propaganda dhidi ya TISS ilhali kipaumbele hapa ni utaifa kwanza.

Huwezi kuthibitisha kuwa waliokamatwa ni Majajusi wakati hata kule Malawi hawajathibitisha kupitia vyombo rasmi ila wewe hapa ushathibitsha na kuanza kutoa hukumu.

Halafu kwa Elimu ndogo tu ni kuwa mara nyingi Agents wanapokamatwa huwa hawatoi habari hovyo hovyo,

Mfano Leo Tanzania ikamate Agents wa Malawi halafu OCD wa Tunduma ndio atoe taarifa kwa umma.

You must be an Intelligent in this things
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…