Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

1518010-Taxi_to_the_border_Karonga_District.jpg


Mkuu, hapo sehemu kuna mgodi unaoitwa Kayelekera ambapo ndipo pamegunduliwa hiyo Uranium.

Ila Karonga ni rahisi sana kuingia kutokea Tanzania hivyo hao wanaodaiwa wamekamatwa, wanaweza kuwa ni wanakijiji wa jirani na mpakani.

Pengine walikuwa wakishangaashangaa tu eneo hilo maana limewekwa uzio.

Malawi waache propaganda za kijinga.

Majasusi wa Tanzania hawawezi kwenda hiyo sehemu leo kienyeji hivyo wakati tayari wanaweza kuwa wanazo picha za kupigwa kutoka kwenye ndege na taarifa zote huenda wanazo tangu madini hayo yagunduliwe mwaka 2009.

Hivyo ondoa shaka.
Mkuu mwenye uelewa amekuelewa hakuna state security aliye mzembe hivyo they are full of techniques
Tunawasubiri tu hao. Malawi wafanye ujinga wao. Ngerengere mazoez tuendelea kufanya
 
Kweli kabisa JF imepoteza credibility. Imegeuka kijiwe cha wahuni

Na Wewe pia ukiwa miongoni mwa hao Wahuni, hivyo sisi Wana JF tunafurahi kuwa na Muhuni Wewe uliyetukuka kabisa.
 
Mawazo yameheshimiwa Mkuu, ila kuna kitu lazima ujifunze mambo Haya kiundani sana, weakness yako kubwa ni Ku JUDGE haraka bila kuwa na ushahidi wa kina.

Tafuta kuna Uzi uko humu toka jana angalau aliyeuleta alileta habari yote ilivyoandikwa.

Wewe unachokifanya hapa ni kuleta Propaganda dhidi ya TISS ilhali kipaumbele hapa ni utaifa kwanza.

Huwezi kuthibitisha kuwa waliokamatwa ni Majajusi wakati hata kule Malawi hawajathibitisha kupitia vyombo rasmi ila wewe hapa ushathibitsha na kuanza kutoa hukumu.

Halafu kwa Elimu ndogo tu ni kuwa mara nyingi Agents wanapokamatwa huwa hawatoi habari hovyo hovyo,

Mfano Leo Tanzania ikamate Agents wa Malawi halafu OCD wa Tunduma ndio atoe taarifa kwa umma.

You must be an Intelligent in this things

Mapovu yote haya ya nini Mkuu? Haya kaunganishe sasa nguvu zako na Waziri husika muende mkawatoe hao Ndugu zetu huko Malawi ili pengine na Wao wasijewekwa katika Viroba na Mawe Shingoni kisha wakatupwa Ziwani au Mtoni. Maneno mengi halafu Pumba tupu. Kuna mahala labda umeona nimeikashifu TISS? Nilichokisema na bado nasisitiza tena kukisema tena huku nikijiamini kabisa ni kwamba Idara hiyo inahitaji kujitathmini mno hasa Kiutendaji na jinsi ya kuwakufunzi na kuwaajiri Watumishi wake kwani kuna mapungufu mengi ya hatari yanajitokeza kwao kila mara na si jambo jema kwa ustawi mzima wa Kiusalama kwa nchi yetu iwe ndani au nje. Jifunze kujenga Hoja na epuka kuwa Mpuuzi tafadhali!
 
Hii ni habari mbaya kwa nchi yetu kama ni kweli,

Nchi ndogo kama Malawi kukamata wapelelezi wetu inatuweka sis ktk kiwango cha chini zaidi yao.
 
Majasusi 8 wakamatwe kwa pamoja, sidhani na sitarajii kitu kama hicho kwa jasusi anayeijua kazi yake vyema. Hamuwezi mkapelekwa lundo kwa pamoja kama polisi wanakwenda kutuliza ghasia.
 
Usisumbuke nao Mkuu unaweza ukadhani hao ni Watu tofauti tofauti wanatiririka na hicho Kifaransa chao ila nikuhakikishie tu kuwa huyo ni Mtu mmoja. JF ni zaidi ya uijuavyo Mkuu!
Mkuu lakini kwa uzoefu wako inakuwaje majasusi 8 washikwe kwa pamoja hapa ndipo nimekuwa na mashaka na uwezo wao utakuwa ni Mdogo sana.
 
Back
Top Bottom