comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Nyie nn tena mnaongea wenyewe tuOui Se vrais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie nn tena mnaongea wenyewe tuOui Se vrais
Malawi wanaitamani Tanzania wanapewa kichwa sana sijui na nani! Chokochoko tangu mdaaa
Malawi wanaitamani Tanzania wanapewa kichwa sana sijui na nani! Chokochoko tangu mdaaa
ndio maana nilitoa angalizo...jamani tusubili tutaambiwa tuu....walau lenye tija na mashiko.....Mawazo yameheshimiwa Mkuu, ila kuna kitu lazima ujifunze mambo Haya kiundani sana, weakness yako kubwa ni Ku JUDGE haraka bila kuwa na ushahidi wa kina.
Tafuta kuna Uzi uko humu toka jana angalau aliyeuleta alileta habari yote ilivyoandikwa.
Wewe unachokifanya hapa ni kuleta Propaganda dhidi ya TISS ilhali kipaumbele hapa ni utaifa kwanza.
Huwezi kuthibitisha kuwa waliokamatwa ni Majajusi wakati hata kule Malawi hawajathibitisha kupitia vyombo rasmi ila wewe hapa ushathibitsha na kuanza kutoa hukumu.
Halafu kwa Elimu ndogo tu ni kuwa mara nyingi Agents wanapokamatwa huwa hawatoi habari hovyo hovyo,
Mfano Leo Tanzania ikamate Agents wa Malawi halafu OCD wa Tunduma ndio atoe taarifa kwa umma.
You must be an Intelligent in this things
Ujinga si tusi,hata Tanzania kama taifa, miong onivmwa maadui zetu wakuu watatu,ujinga ilikuwa ni mmoja wapoKumbe neno Ujinga nalo ni tusi? Nilikuwa sijui hilo Mkuu. Kwahiyo kumbe hata Mwenyezi Mungu nae basi ana matusi kwani kama Wewe ni msomaji mzuri wa Maandiko yake yaliyomo katika Vitabu vyake ( sisi Wakristo Biblia ) maneno kama Mjinga na Mpumbavu yametumika / ameyatumia mno. Naomba ufafanuzi wako katika hili Mkuu ili nijue kuwa napoteza muda wangu kwa Genius au J.U.H.A. tu!
Mawazo yameheshimiwa Mkuu, ila kuna kitu lazima ujifunze mambo Haya kiundani sana, weakness yako kubwa ni Ku JUDGE haraka bila kuwa na ushahidi wa kina.
Tafuta kuna Uzi uko humu toka jana angalau aliyeuleta alileta habari yote ilivyoandikwa.
Wewe unachokifanya hapa ni kuleta Propaganda dhidi ya TISS ilhali kipaumbele hapa ni utaifa kwanza.
Huwezi kuthibitisha kuwa waliokamatwa ni Majajusi wakati hata kule Malawi hawajathibitisha kupitia vyombo rasmi ila wewe hapa ushathibitsha na kuanza kutoa hukumu.
Halafu kwa Elimu ndogo tu ni kuwa mara nyingi Agents wanapokamatwa huwa hawatoi habari hovyo hovyo,
Mfano Leo Tanzania ikamate Agents wa Malawi halafu OCD wa Tunduma ndio atoe taarifa kwa umma.
You must be an Intelligent in this things
Sawa Mkuu...Watanzania tunapenda Amani.Ila kiukweli hakuna mtu yoyote yule anaewapa kichwa.
vraiOui Se vrais
Heheheheheh jahahaaaaaa umenifanya nicheke kisafwaNaambiwa walipofika Lilongwe wakaanza kufanya show-off ya kupasuliana matofali na kulalia misumali kama walivyofanya Tar.9 Dec pale Uhuru Stadium.....
Shubaaamit!
Ngoja nichukue gitaa la "awilo-kidume cha mbeya" nikutwangie wolowolo hapa!Heheheheheh jahahaaaaaa umenifanya nicheke kisafwa
Wale wa tarehe 9 Desemba sio majasusi mkuu, ni makomandoNaambiwa walipofika Lilongwe wakaanza kufanya show-off ya kupasuliana matofali na kulalia misumali kama walivyofanya Tar.9 Dec pale Uhuru Stadium.....
Shubaaamit!
Si ndo walikuwa wanawaiga wenzao,maana wao wanakosa platifom ya kuonesha mambo yao hadharani....so wakaamua kujiachia Lilongwe, Hahaha!Wale wa tarehe 9 Desemba sio majasusi mkuu, ni makomando
Wale hawakuwa spies! Wacha ujinga wako wewe [emoji41][emoji41][emoji41]Naambiwa walipofika Lilongwe wakaanza kufanya show-off ya kupasuliana matofali na kulalia misumali kama walivyofanya Tar.9 Dec pale Uhuru Stadium.....
Shubaaamit!