Na walitumia kaspaskay kama sikoseiRussian government hackers used antivirus software to steal U.S. cyber capabilities
https://www.google.com/url?sa=t&sou...Vaw0xInPBXJU7LynzuAO23a4w&cshid=1592583081371
Mimi sio proffesor wa IT na sio expert wa cyber.Wew kunizidi wala sina shida maana sikujui kama unajua mambo funguka wadau wapate Madini kutika kwako kama ulitaka kunifanyia assessment mimi pia ninaweza kukuuliza baadhi ya mambo huenda ukashindwa kunijibu kwa hiyo kubwa ni kushirikishana na kuwasaidia wenye maamuzi katika nchi.
Mimi naamini kwa uwezo wangu mdogo nimetoa hazina yangu kwa wadau sasa wewe uliyenizidi embu shusha madude tutoe tongo tongo
Kubishana na prof. wa IT kwangu mimi sioni ni tatizo maana atanielekeza ninapikosea jambo nami niko huru maana siwezi jua mambo yote
Hapo umenena mkuuKulingana na level yako na pia soko, yes.
Kama una degree basi chukua masters ya cyber security waweza kuwa hata na masters tatu!
Kwasababu ukiwa na level ulo nayo ambayo naamini uko kwenye masuala ya networking ukitop up na hii cyber security unapanda kwa kasi sana na unakuwa kwenye kundi la elites.
Cyber Security mara nyingi ni pamoja na systems interrogations, secure IT infrastructure pamoja na IT security policies and enforcement.
Mkuu, unaweza kuwa upo TCRA wanisoma tu au?
π
Bado hujachelewa jiendelezeMimi sio proffesor wa IT na sio expert wa cyber.
Baadhi ya terminology na knowledge kiasi nilipata kipindi nasoma na research zangu binafsi. Nilitaka nibase huko niwe mtaalamu sema nikaahirisha.
Ndio yenyewe mkuu Russia na China na North Korea ni hatari Sana wana akili nyingi Sana hawa viumbe!Na walitumia kaspaskay kama sikosei
Bahati mbaya nilipoamua kusomea hapahusiani na hayo mambo.Ngoja nikomae tu huku huku.Huko TCRA hata sipo na wala siishi Dar.Kulingana na level yako na pia soko, yes.
Kama una degree basi chukua masters ya cyber security waweza kuwa hata na masters tatu!
Kwasababu ukiwa na level ulo nayo ambayo naamini uko kwenye masuala ya networking ukitop up na hii cyber security unapanda kwa kasi sana na unakuwa kwenye kundi la elites.
Cyber Security mara nyingi ni pamoja na systems interrogations, secure IT infrastructure pamoja na IT security policies and enforcement.
Mkuu, unaweza kuwa upo TCRA wanisoma tu au?
π
Russian government hackers used antivirus software to steal U.S. cyber capabilities
https://www.google.com/url?sa=t&sou...Vaw0xInPBXJU7LynzuAO23a4w&cshid=1592583081371
Ngoja nikomae tu huku huku nilipopachagua.Bado hujachelewa jiendeleze
Anga ni rahisi sana kuilinda endapo watoa ushirikiano wa kindugu.
Kama hafahamu mifumo ya ulinzi wa anga letu mingi imejengwa na wataalam wa uchina.
I stand to be corrected.
Ukimpa mkandarasi wa kigeni akujengee miundombinu basi hapohapo unaweka vijana wako wajifunze ili kurudufu ile master copy ambayo wewe baadae aibadilisha na kuweka nakshi za kiusalama uzitakazo.
Ndo maana mataifa makubwa yakivamia nchi fulani kwa uelewa wa miundombinu yake huanza kwa kubomoa kwa makombora miundombinu hiyo.
Kwasababu wanayo michoro.
Hapa pia, I stand to be corrected.
Lakini "strategic installations" zote mara nyingi hujengwa na nchi husika ili kuzuia saboitage ikiwa zitajengwa na wageni.
Naifahamu inatumiwa na Marekani zaidi ya miaka 50 sasa.
Inatumika kwa reconnaissance duniani.
Sasa utaficha nini CIA wasikijue.
Au unadhani hawajui kinachoendelea pale Chamwino Ikulu
Asante sana kiongizi security ya mfumo wa network ina hitaji understanding kubwa how network worksHiyo ilikuwa ni 2017 jamaa moja wa NSA aliibiwa laptop yake na ikawa inadaiwa ni hackers wa FSB.
Walichofanya hackers hao wakatumia communicatins layer (ya zile layers 7 za networking) kwenye Kaspersky anti virus kudukua info za serikali ya Marekani.
Ndo maana Kaspersky hitumiwi sana serikalini Marekani ilipigwa marufuku tangu hiyo 2017.
Hizi ndege kila nchi kubwa inazo kwa uundaji tofauti na ni kwa ajili khasa ya "oversight".
Mara nyingi interception inatokea endapo wanavuka IAS
Hivyo inaweza kupiga hizo picha nje ya Tanzania Air Space kama bahari ya hindi kwa ksingizio cha kulinda balozi zake na zile base pale Nairobi na Djibouti.
Ila kwa ajili ya soveirnighy yetu hawawezi kuvuka anga la kimataifa na kuingia anga la Tanzania kwenda Dodoma.
Iyo itakuwa kama kuna vita.
Ndo maana watatumia majasusi "on the gound" kuleta vurugu.
Majasusi hao wakigundulika huwa nchi zao zinaombwa waondolewe.
Ndio maana nchi kama Uingereza majasusi sasa hivi hutakiwa kujiandikisha pamoja na kutoa financial details zao kuzuia yalotokea kule Salisbury.
Kwa kukukumbusha tu haya masuala ya nchi kujilinda niliyaongelea hapa: Ujasusi wa Kiuchumi na Kiteknolojia unakuwa kwa kasi, Je Tanzania iko tayari
πππ 5eyes wana jinyea hukoteam 5 Eyes wawasaidie ndugu zao.
Unashangaa certification! Wewe ni mgeni huku?Mkuu nipo sehemu peke yangu nimetulia kuna kakazi nina fanya nimecheka Sana kidogo ningekuambia ya Lumumba
Bila kusahau Cyber unaipenda au unasoma sababu ya soko la ajira?Kulingana na level yako na pia soko, yes.
Kama una degree basi chukua masters ya cyber security waweza kuwa hata na masters tatu!
Kwasababu ukiwa na level ulo nayo ambayo naamini uko kwenye masuala ya networking ukitop up na hii cyber security unapanda kwa kasi sana na unakuwa kwenye kundi la elites.
Cyber Security mara nyingi ni pamoja na systems interrogations, secure IT infrastructure pamoja na IT security policies and enforcement.
Mkuu, unaweza kuwa upo TCRA wanisoma tu au?
π
Bila kusahau Cyber unaipenda au unasoma sababu ya soko la ajira?
Inawezekana ajira ukapata ila huko mbele ukashindwa kwendana na mabadiliko kwani IT ni industry in change kila mara,leo utaambiwa hili kesho utaambiwa lile.Sasa hivi watu wa networking wana sisitizwa wajue programming,sasa kama uliamini cheti chako kitalinda kazi yako basi ndio new technology itakutupa mkono.
Wenzetu wazungu kwenye IT wanakuwa bora sababu wana wanakipenda kile wanacho kifanya na wanaji update mara kwa mara na huko mbele tunapo elekea ,programming itakuwa ni lazima kuijua,haijalishi upo kwenye field gani ya IT.
Nipo huku kitambo pengine kabla hujawa na uwezo kumiliki simu!Unashangaa certification! Wewe ni mgeni huku?