Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

Wew kunizidi wala sina shida maana sikujui kama unajua mambo funguka wadau wapate Madini kutika kwako kama ulitaka kunifanyia assessment mimi pia ninaweza kukuuliza baadhi ya mambo huenda ukashindwa kunijibu kwa hiyo kubwa ni kushirikishana na kuwasaidia wenye maamuzi katika nchi.

Mimi naamini kwa uwezo wangu mdogo nimetoa hazina yangu kwa wadau sasa wewe uliyenizidi embu shusha madude tutoe tongo tongo

Kubishana na prof. wa IT kwangu mimi sioni ni tatizo maana atanielekeza ninapikosea jambo nami niko huru maana siwezi jua mambo yote
Mimi sio proffesor wa IT na sio expert wa cyber.
Baadhi ya terminology na knowledge kiasi nilipata kipindi nasoma na research zangu binafsi. Nilitaka nibase huko niwe mtaalamu sema nikaahirisha.
 
Kulingana na level yako na pia soko, yes.

Kama una degree basi chukua masters ya cyber security waweza kuwa hata na masters tatu!

Kwasababu ukiwa na level ulo nayo ambayo naamini uko kwenye masuala ya networking ukitop up na hii cyber security unapanda kwa kasi sana na unakuwa kwenye kundi la elites.

Cyber Security mara nyingi ni pamoja na systems interrogations, secure IT infrastructure pamoja na IT security policies and enforcement.

Mkuu, unaweza kuwa upo TCRA wanisoma tu au?

🙂
Hapo umenena mkuu
 
Bahati mbaya nilipoamua kusomea hapahusiani na hayo mambo.Ngoja nikomae tu huku huku.Huko TCRA hata sipo na wala siishi Dar.
 
Russian government hackers used antivirus software to steal U.S. cyber capabilities
https://www.google.com/url?sa=t&sou...Vaw0xInPBXJU7LynzuAO23a4w&cshid=1592583081371

Hiyo ilikuwa ni 2017 jamaa moja wa NSA aliibiwa laptop yake na ikawa inadaiwa ni hackers wa FSB.

Walichofanya hackers hao wakatumia communicatins layer (ya zile layers 7 za networking) kwenye Kaspersky anti virus kudukua info za serikali ya Marekani.

Ndo maana Kaspersky haitumiwi sana serikalini Marekani ilipigwa marufuku tangu hiyo 2017.
 
Unaijua U2 spy plane?
Anga ni rahisi sana kuilinda endapo watoa ushirikiano wa kindugu.

Kama hafahamu mifumo ya ulinzi wa anga letu mingi imejengwa na wataalam wa uchina.

I stand to be corrected.

Ukimpa mkandarasi wa kigeni akujengee miundombinu basi hapohapo unaweka vijana wako wajifunze ili kurudufu ile master copy ambayo wewe baadae aibadilisha na kuweka nakshi za kiusalama uzitakazo.

Ndo maana mataifa makubwa yakivamia nchi fulani kwa uelewa wa miundombinu yake huanza kwa kubomoa kwa makombora miundombinu hiyo.

Kwasababu wanayo michoro.

Hapa pia, I stand to be corrected.

Lakini "strategic installations" zote mara nyingi hujengwa na nchi husika ili kuzuia saboitage ikiwa zitajengwa na wageni.
 
Sasa utaficha nini CIA wasikijue.
Au unadhani hawajui kinachoendelea pale Chamwino Ikulu
Naifahamu inatumiwa na Marekani zaidi ya miaka 50 sasa.

Inatumika kwa reconnaissance duniani.
 
Sasa utaficha nini CIA wasikijue.
Au unadhani hawajui kinachoendelea pale Chamwino Ikulu

Hizi ndege kila nchi kubwa inazo kwa uundaji tofauti na ni kwa ajili khasa ya "oversight".

Mara nyingi interception inatokea endapo wanavuka IAS

Hivyo inaweza kupiga hizo picha nje ya Tanzania Air Space kama bahari ya hindi kwa ksingizio cha kulinda balozi zake na zile base pale Nairobi na Djibouti.

Ila kwa ajili ya soveirnighy yetu hawawezi kuvuka anga la kimataifa na kuingia anga la Tanzania kwenda Dodoma.

Iyo itakuwa kama kuna vita.

Ndo maana watatumia majasusi "on the gound" kuleta vurugu.

Majasusi hao wakigundulika huwa nchi zao zinaombwa waondolewe.

Ndio maana nchi kama Uingereza majasusi sasa hivi hutakiwa kujiandikisha pamoja na kutoa financial details zao kuzuia yalotokea kule Salisbury.

Kwa kukukumbusha tu haya masuala ya nchi kujilinda niliyaongelea hapa: Ujasusi wa Kiuchumi na Kiteknolojia unakuwa kwa kasi, Je Tanzania iko tayari
 
Hiyo ilikuwa ni 2017 jamaa moja wa NSA aliibiwa laptop yake na ikawa inadaiwa ni hackers wa FSB.

Walichofanya hackers hao wakatumia communicatins layer (ya zile layers 7 za networking) kwenye Kaspersky anti virus kudukua info za serikali ya Marekani.

Ndo maana Kaspersky hitumiwi sana serikalini Marekani ilipigwa marufuku tangu hiyo 2017.
Asante sana kiongizi security ya mfumo wa network ina hitaji understanding kubwa how network works
 
U2 inaenda 70000fts huko sio anga letu ndugu. Ikishuka sawa
Hizi ndege kila nchi kubwa inazo kwa uundaji tofauti na ni kwa ajili khasa ya "oversight".

Mara nyingi interception inatokea endapo wanavuka IAS

Hivyo inaweza kupiga hizo picha nje ya Tanzania Air Space kama bahari ya hindi kwa ksingizio cha kulinda balozi zake na zile base pale Nairobi na Djibouti.

Ila kwa ajili ya soveirnighy yetu hawawezi kuvuka anga la kimataifa na kuingia anga la Tanzania kwenda Dodoma.

Iyo itakuwa kama kuna vita.

Ndo maana watatumia majasusi "on the gound" kuleta vurugu.

Majasusi hao wakigundulika huwa nchi zao zinaombwa waondolewe.

Ndio maana nchi kama Uingereza majasusi sasa hivi hutakiwa kujiandikisha pamoja na kutoa financial details zao kuzuia yalotokea kule Salisbury.

Kwa kukukumbusha tu haya masuala ya nchi kujilinda niliyaongelea hapa: Ujasusi wa Kiuchumi na Kiteknolojia unakuwa kwa kasi, Je Tanzania iko tayari
 
Kulingana na level yako na pia soko, yes.

Kama una degree basi chukua masters ya cyber security waweza kuwa hata na masters tatu!

Kwasababu ukiwa na level ulo nayo ambayo naamini uko kwenye masuala ya networking ukitop up na hii cyber security unapanda kwa kasi sana na unakuwa kwenye kundi la elites.

Cyber Security mara nyingi ni pamoja na systems interrogations, secure IT infrastructure pamoja na IT security policies and enforcement.

Mkuu, unaweza kuwa upo TCRA wanisoma tu au?

🙂
Bila kusahau Cyber unaipenda au unasoma sababu ya soko la ajira?

Inawezekana ajira ukapata ila huko mbele ukashindwa kwendana na mabadiliko kwani IT ni industry in change kila mara,leo utaambiwa hili kesho utaambiwa lile.Sasa hivi watu wa networking wana sisitizwa wajue programming,sasa kama uliamini cheti chako kitalinda kazi yako basi ndio new technology itakutupa mkono.

Wenzetu wazungu kwenye IT wanakuwa bora sababu wana wanakipenda kile wanacho kifanya na wanaji update mara kwa mara na huko mbele tunapo elekea ,programming itakuwa ni lazima kuijua,haijalishi upo kwenye field gani ya IT.
 
Mkuu, nimeleza short and clear kwenye post namba 60.

Sasa hata kama una ujuzi katika programming lakini si utahitaji security pia?

Ndo maana nikasema si mbaya kama ukitop-up na hii ya security kwa sababu utakuja kusimamia wale wanofanya programming ya entities za aina mbalimbali kwenye kuunda kanzidata.

Kwenye cyber security pia waweza kuwa investigative analyst au meneja ambae pia technically ni kachero wa mitandao katika organisation yako, serikalini au kwingine.

Ila unakuwa ni bosi wa programmer kwa sababu una elements zote.
 
Back
Top Bottom