Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia kufanya biashara navuta picha vipi endapo kama litatokea tetemeko la ardhi sizani kama majengo yale yataweza kuhimili hali hiyo.
lakini pia niliona majengo mengine yana hadi mahandaki na watu wanafanya biashara chini ya mahandaki kule chini hakuna hewa nzuri ya kutosha na majengo yale hakuna AC ndani yake kuna joto na hewa ni nzito sana alafu kuna msongamano mkubwa wa watu endapo tetemeko la ardhi litapita maeneo yale wengi wataenda kufa huwenda ni kwakukosa hewa au kwa kusagwa na vifusi vya ghorofa zile.
Nashauri serikali iangalie soko lengine salama zaidi tofauti na yale majengo ya kariakoo kwaajili ya kuwaamishia wafanya biashara wa maeneo ya kariakoo, kwasababu katika uhalisia mazingira ya majengo yale yanatia wasiwasi kwamba huwenda yakaja kuanguka na kuuwa watu wengi zaidi kwahiyo ili kuepuka majanga haya yasiyo na ulazima nashauri serikali kuwaamisha wale wafanya biashara kwenye yale majengo na kuangalia maeneo mengine salama zaidi na rafiki kwa biashara kwaajili yao.