Majengo yenye nyufa Kariakoo yanayokaribia kudondoka

Majengo yenye nyufa Kariakoo yanayokaribia kudondoka

Gentleman,
nyufa ni jambo la kawaida kabisa nadhani katika maeneo mengi,

infact ni zakuziba na jengo likiendelea kutumika kwa usalama wa uhakika.

Abdul Nondo aliwahi kuripoti kuhusu nyufa za majengo fulani miaka ya nyuma.

Nyufa zile zilizibwa,
Na mjlengo yale yako salama na imara kweli kweli yanaendelea kutumika 🐒
Aliyereport Nyufa majengo Chuo ya Magufuli Flats ni Kumbusho Dawson na alinusurika Kutekwa akapiga NDURU ndiyo pona pona yake.
 
1. Congo Tower
2......
3.........

Tuendelee kuyataja hapa chini
Hata grorofa la land mark ubungo lile la zamani lina crek naomba serikali ikalifuatilie kabla halijaleta madhara.
Nakumbuka kipindi cha nyuma kipindi mama tibaijuka ni waziri husika aliwahi lifungia ila kwa kuwa kipindi hicho mwenye jengo alikua mbunge mbarali huko bwana sauli kwa mda mchache liliendelea kufany kazi mpaka sasa nadhani linatumika
 
Nondo za 12mm sio tatizo ikiwa zitatumika kwenye slabs.

Columns na beams ndio huhiyltaji nondo Nene na nyingi zaidi kutegemea na muundo na ukubwa wa jengo
Unauhakika design ya jengo ilizingatia muingiliano wa watu na kiasi cha mizigo maana wengine hugeuza ndiyo store, hukuona yale magunia ..? 😳😳

Tume ya Rais italeta majibu
 
1. Congo Tower
2......
3.........

Tuendelee kuyataja hapa chini
Kuna unabii umetoka kuhusu hilo jengo la Congo Tower. Ingawa mimi binafsi silifahamu lakini nimeona kuna nabii mmoja amesema nalo lipo njiani kubusu ardhi
 
Back
Top Bottom