Majengo yenye nyufa Kariakoo yanayokaribia kudondoka

Majengo yenye nyufa Kariakoo yanayokaribia kudondoka

Kuna unabii umetoka kuhusu hilo jengo la Congo Tower. Ingawa mimi binafsi silifahamu lakini nimeona kuna nabii mmoja amesema nalo lipo njiani kubusu ardhi
Sasa yule naye ametabiri nini?
Unatabirije kitu kinachoonekana kwa macho..huo Ufa wa Congo Tower ni wa muda...Watu nao wameona watembelee upepo
 
Mabilionea wa kko wahuni tu
Hawana uwezo wa kujenga gorofa la kisawasawa

Ova
 
Sijui imekuaje Congo Tower imekua na cracks mapema hivi maana hata sio jengo la muda mrefu
Hapo jibu lake si limejengwa chini ya kiwango. But sio kila ufa ni hatari, inategemea

Muhimu uchunguzi ufanyike, japo kwenye uchunguzi pia napo kunakuaga na mazonge, kamati inakua compromised maana unakuta kwenye kamati kuna affiliates wa wamiliki wa majengo
 
Hii itasaidia?

Unakuta kampuni iliyopewa kandarasi ya ujenzi ni ya kiongozi kama waziri mkuu baada ya kujipigia pande kupitia mchakato usio rasmi , unadhani itachukuliwa hatua?

Ok case study ni jengo limetimiza wiki hadi sasa wewe umesikia mmiliki wa jengo amekamatwa?

Ni kwamba jengo halina mtu au huyo mtu hajulikani?

Raha sana kuongoza watu wasiojitambua wiki tu kelele zote za zimeisha.
 
Mabilionea wa kko wahuni tu
Hawana uwezo wa kujenga gorofa la kisawasawa

Ova
Uwezo wanao, Ila binadamu yoyote usipomuwekea standard na kumsimamia kwa sheria lazima ataharibu tu

Mhandisi oshakula chake huo muda wa kujali mrangi atakuja kuangukiwa na ghorofa anakua hana
 
Siamini gorofa lolote lililojengwa na mbongo wala lifti yoyote.

Hawa jamaa wa kuchakachua sio wakuaminika kabisa.

Engineer aibe, foreman, na fundi anayejenga.

Kuna jengo hapo kweli.
 
Sijui sheria zikoje lakini congo tower anaweza kulipwa.......ule ufa ni sababu ya ujenzi jirani bila ujenzi alikuwa yuko sawa ............
 
Hakuna cha ufa wala kuchakaa, kinachotakiwa ni "viwango " yoooote yasiyo na viwango yapigwe chini. Mafisadi mtachukia ila uhai ni muhimu kuliko mapesa yenu.

Hakuna cha ufa wala kuchakaa, kinachotakiwa ni "viwango " yoooote yasiyo na viwango yapigwe chini. Mafisadi mtachukia ila uhai ni muhimu kuliko mapesa yenu.
Si rahisi kupiga chini ....ila watafanyia ukarabati mapungufu yatakayobainika
 
Rais alishasema kuna watu watapewa hilo jukumu la kufatilia maghorofa ambao ni wataalamu wa majengo na ripoti ikitoka basi watafanya kama inavyosema ripoti , kama ni kubomoa itabomoa kama ni kuacha itaacha, shida ya Watanzania ni kufata upepo tu, kila kitu kujifanya wamesomea wao , kumbe hamna lolote
Hao watu wa Tume mwisho wa siku lazima waulize watu
 
Siamini gorofa lolote lililojengwa na mbongo wala lifti yoyote.

Hawa jamaa wa kuchakachua sio wakuaminika kabisa.

Engineer aibe, foreman, na fundi anayejenga.

Kuna jengo hapo kweli.
Hatar sana !
Nani aliwafundisha wabongo Uwizi ?
Enzi zetu za Mwalimu tulikuwa waaminifu sana ndio maana hakuna jengo lolote lililowahi kuangukia watu !
 
Kivipi yani ujenzi wa jirani usababishe Ufa?
Baada ya kufukua shimo kubwa ule mchanga ukawa unatoka kwenye lile jengo pembeni........wakawa wanauzuia na viroba vya mchanga mpaka msingi wa lile jengo uko nje nje kabisaa...........sasa kwanini ufa usitokee
 
Back
Top Bottom