Majengo yenye nyufa Kariakoo yanayokaribia kudondoka

Majengo yenye nyufa Kariakoo yanayokaribia kudondoka

nyie suburini tu vifo vingine. hakuna kitu kitafanywa. mwaka 2012 au 2013 si lilianguka kisha ikaja ripoti ikasema mengi ya maghorofa hapo kko ni kisanga. miaka ikapita 2024 limeanguka. ripoti haikufanyiwa kazi.
msubiri janga lingine 5 years to come.
#kifo ni kifo
 
anatoa tahadhali mnamtukana, ivi nyie mmerogwa au
Rais alishasema kuna watu watapewa hilo jukumu la kufatilia maghorofa ambao ni wataalamu wa majengo na ripoti ikitoka basi watafanya kama inavyosema ripoti , kama ni kubomoa itabomoa kama ni kuacha itaacha, shida ya Watanzania ni kufata upepo tu, kila kitu kujifanya wamesomea wao , kumbe hamna lolote
 
Lile limeanza kwenda na watu tangu wakati linajengwa, wakati linajengwa Kuna fundi alianguka pale akiwa juu jeans alovaaa ilikua imembana ila mpaka anatua chini limekua bwanga
Na unaambiwa ndiyo jengo pekee Kariakoo limekaa muda mrefu bila kupata wapangaji...
Na wapangaji walivyopatikana wameingia bila Kilemba...
 
Back
Top Bottom