SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Usilete siasa kwenye masuala ya kitaaluma.Kama limeonekana lina nyufa wacha wahandisi wafanye ukaguzi ndiyo wanaweza kutoa kauli kama ni salama au ni hatarishi.Gentleman,
nyufa ni jambo la kawaida kabisa nadhani katika maeneo mengi,
infact ni zakuziba na jengo likiendelea kutumika kwa usalama wa uhakika.
Abdul Nondo aliwahi kuripoti kuhusu nyufa za majengo fulani miaka ya nyuma.
Nyufa zile zilizibwa,
Na mjlengo yale yako salama na imara kweli kweli yanaendelea kutumika 🐒