Sasa yule naye ametabiri nini?Kuna unabii umetoka kuhusu hilo jengo la Congo Tower. Ingawa mimi binafsi silifahamu lakini nimeona kuna nabii mmoja amesema nalo lipo njiani kubusu ardhi
Sasa kama jengo lina Ufa tusiseme juu Ma' Engineer wapo?Engineer wapo watafanya kazi yao ila sio kila ufa unaporomosha ghorofa , sasa hivi kila Mtanzania ni Engineer
Kumbe hapo kkoo kuna majengo yanaweza kukaa bila wapangajiNa unaambiwa ndiyo jengo pekee Kariakoo limekaa muda mrefu bila kupata wapangaji...
Na wapangaji walivyopatikana wameingia bila Kilemba...
Congo Tower ndiyo la kwanza kukosa wapangaji...Kumbe hapo kkoo kuna majengo yanaweza kukaa bila wapangaji
Utakua fundi maiko weweIsije ikawa Expansion Joint
Wadau wa Kariakoo wataweka.Rusha picha ya ufa
Mambo ya Ubia hayo ndiyo yanasababishaMabilionea wa kko wahuni tu
Hawana uwezo wa kujenga gorofa la kisawasawa
Ova
Hapo jibu lake si limejengwa chini ya kiwango. But sio kila ufa ni hatari, inategemeaSijui imekuaje Congo Tower imekua na cracks mapema hivi maana hata sio jengo la muda mrefu
Uwezo wanao, Ila binadamu yoyote usipomuwekea standard na kumsimamia kwa sheria lazima ataharibu tuMabilionea wa kko wahuni tu
Hawana uwezo wa kujenga gorofa la kisawasawa
Ova
Nondo!Sijui imekuaje Congo Tower imekua na cracks mapema hivi maana hata sio jengo la muda mrefu
Hakuna cha ufa wala kuchakaa, kinachotakiwa ni "viwango " yoooote yasiyo na viwango yapigwe chini. Mafisadi mtachukia ila uhai ni muhimu kuliko mapesa yenu.
Si rahisi kupiga chini ....ila watafanyia ukarabati mapungufu yatakayobainikaHakuna cha ufa wala kuchakaa, kinachotakiwa ni "viwango " yoooote yasiyo na viwango yapigwe chini. Mafisadi mtachukia ila uhai ni muhimu kuliko mapesa yenu.
Hao watu wa Tume mwisho wa siku lazima waulize watuRais alishasema kuna watu watapewa hilo jukumu la kufatilia maghorofa ambao ni wataalamu wa majengo na ripoti ikitoka basi watafanya kama inavyosema ripoti , kama ni kubomoa itabomoa kama ni kuacha itaacha, shida ya Watanzania ni kufata upepo tu, kila kitu kujifanya wamesomea wao , kumbe hamna lolote
Hatar sana !Siamini gorofa lolote lililojengwa na mbongo wala lifti yoyote.
Hawa jamaa wa kuchakachua sio wakuaminika kabisa.
Engineer aibe, foreman, na fundi anayejenga.
Kuna jengo hapo kweli.
Kivipi yani ujenzi wa jirani usababishe Ufa?Sijui sheria zikoje lakini congo tower anaweza kulipwa.......ule ufa ni sababu ya ujenzi jirani bila ujenzi alikuwa yuko sawa ............
Baada ya kufukua shimo kubwa ule mchanga ukawa unatoka kwenye lile jengo pembeni........wakawa wanauzuia na viroba vya mchanga mpaka msingi wa lile jengo uko nje nje kabisaa...........sasa kwanini ufa usitokeeKivipi yani ujenzi wa jirani usababishe Ufa?