Majengo yenye nyufa Kariakoo yanayokaribia kudondoka

Usilete siasa kwenye masuala ya kitaaluma.Kama limeonekana lina nyufa wacha wahandisi wafanye ukaguzi ndiyo wanaweza kutoa kauli kama ni salama au ni hatarishi.
 
Usilete siasa kwenye masuala ya kitaaluma.Kama limeonekana lina nyufa wacha wahandisi wafanye ukaguzi ndiyo wanaweza kutoa kauli kama ni salama au ni hatarishi.
sasa unakasirika nini na wahandisi wanaendelea na majukumu yao gentleman? hebu relax bana 🤣

unadhani waliosema,
usiboziba ufa utajenga ukuta ilikua ni mzaha eee?🐒
 
Hao watu wa Tume mwisho wa siku lazima waulize watu
Hii kazi waachie watu wa tume manaa ni wataalamu wa haya mambo, kuuliza bila utaalamu ni kazi bure, wao wanajua kipi cha kufanya
 
Ni kweli...
Congo tower in ufa mkubwa tu..
Upande ule wanapojenga jengo jipya..
Lipo sokoni wanauza B13

Mkuu acha kuvuruga biashara za watu
Kufumbiana na kuoneana haya kumegharimu maisha ya wengi wasio na hatia tena vijana wadogo walioamua kujiajiri na kujikwamua kwenye minyororo ya umasikini hebu tuwataje kwanini ukusanye fedha kwa kuhatarisha maisha ya wasio na hatia wenye kujitafuta
 
Nadhani tungepata picha za hizo nyufa tuone, maana kuna ‘settlement cracks’ ambazo ni kawaida kwenye majengo mapya na hazina madhara.
 
Baada ya kufukua shimo kubwa ule mchanga ukawa unatoka kwenye lile jengo pembeni........wakawa wanauzuia na viroba vya mchanga mpaka msingi wa lile jengo uko nje nje kabisaa...........sasa kwanini ufa usitokee
Duh! Mbona ni hatari sana na mamlaka zilikua zinaangalia tu mpaka maafa yatokee?
 
Nyie ndio Mnatufanya tuishi kwa wasi wasi kariakoo, saiv ukiona mtu anakimbia kariakoo usiulize kuna nini na wewe 🏃
 
Kufumbiana na kuoneana haya kumegharimu maisha ya wengi wasio na hatia tena vijana wadogo walioamua kujiajiri na kujikwamua kwenye minyororo ya umasikini hebu tuwataje kwanini ukusanye fedha kwa kuhatarisha maisha ya wasio na hatia wenye kujitafuta
Shida pale sio jengo ni wale wapuuzi waliokuwa wanataka kuongeza store underground kiholela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…