Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

Unaweza kukuta ni kakijana kadogo kalichojichokea, kanzu imechakaa, kikofia kimeshonwa, amevaa suruali ya mtoto na yeboyebo zilizotoboka, ndio utajilaumu kumpa umuhimu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nguo ya mtoto
 
Mbona umekuja umeshikilia underwear na dera umejifunga kichwani? Tuliza mshono. Usitokwe povu. Haya mambo hayataki hasira. Just calm down. Mwana kulitaka mwana kulipata. Usipovuke sana utakosa mate mwilini. Nenda kanawe uvae kisha uje....
Kumah wewe
 
Nyoka akiingia kwenye shimo ardhini ambalo njia ya kutokea au za kutokea unazijua unamfata shimoni wa nini kupoteza muda!?,unaziba mashimo tu kwa vitu vizito anabakia hukohuko bila hewa. Hakuna msiba, hakuna mazishi. Unakuwa umekata mzizi wa fitina. Maisha mengine yanaendelea.
hayo yameisha fanyika tangia zamani tuu . mpaka sasa hivi hamas hana msiba wala mazishi maana askari zake waliofukiwa mahandakini idadi yao inajaa uwanja wa Azam chamazi na kubaki.
 
Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi.

Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa.

Wapalestine wa Hamas wanauliwa bila kosa kabisa. Walikuwa Hamas wametulia tu naona wanajeshi wa Israel wakaamua kwenda kuanzisha vita. Why jamani, why?kwa nini? Israel atapigika sana. Subiri tu afike sehemu flani. Wametegewa mchezo.

View attachment 2808953
Mkuu kuna mahala umekosea aliye anzakumchokoza mwenzake tarehe 7 ni Israel au Hamas?
 
Back
Top Bottom