joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Sijapata vizuri "point" yako, lengo lako unataka kusemaje kuhusu hiki kitendo cha majeshi ya Ethiopia kujikusanya karibu na Kenya?Jeshi la Kenya sio lenye kiwango kama la Ethiopia, kiuwezo, kiuchumi hilo kosa haliwezi kufanyika na mwana diplomasia kama Uhuru kinyatta......jeshi la Ethiopia sio kama la Tz ambalo halina mazoezi ya vita zaidi ya kulinda Amani katika nchi zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bana, wakifika Nairobi utufahamishe ukiwa huko huko Tandale. Sisi tupo busy tukipambana na virusi vya Corona.Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Unadhani kwanini hao wakazi wa Mandera wanapata wasiwasi?. Hayo majeshi ya Jubaland yanasaidiwa na serikali ya Kenya, wakizidiwa wanaingia Kenya kujificha, wiki mbili zilizopita majeshi ya serikali ya Somalia yalivuka mpaka na kuwafata hadi hapo Mandera.
Muhimu ni kwamba Kenya inasaidia serikali ya Jubaland, na Ethiopia inasaidia serikali ya Mogadishu, Kenya na Ethiopia wanapigana "Proxiwa". Hao Ethiopia wanajua majeshi ya Jubaland yatakimbilia ndani ya Kenya, wamejiandaa kuwafuata ndani ya ardhi ya Kenya, KDF wakijibu mapigo ndio mtakapopata kichapo cha Mbwa koko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mumeanza kujinyea sio?, soma post yangu #17 hapo juu. Kenya haiwezi kupigana na Ethiopia, ila Kenya itapigwa na Ethiopia Kama itaendelea kusaidia na kuyaficha majeshi ya Jubaland [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi shida ni kiingereza au? Wapi Ethiopia anataka kupigana na Kenya?
Mpo busy naSawa bana, wakifika Nairobi utufahamishe ukiwa huko huko Tandale. Sisi tupo busy tukipambana na virusi vya Corona.
Ok.Mpo busy na
1)Corona
2)Locust
3)Hunger
4)Rutto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpo busy na
1)Corona
2)Locust
3)Hunger
4)Rutto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakiingia hakuna shida. Tutawagonga tu.Tension in Mandera as Ethiopian Troops Amass
Kenya hili mlilitaka wenyewe kutokana na kiburi chenu na kujifanya wajuaji, ni wazi kwamba KDF hawana uwezo wa kupingana na majeshi ya Ethiopia, ushauri wangu, kuweni wapole sana, hata wakivuka mpaka na kuingia Kenya, msijibu mashambulizi, badala yake tumieni njia za kidiplomasia kutafuta suluhu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia ambao walishindwa kuangamiza Eritrea one of the poorest countries in Africa?Hamna vita hapo, Uhuru Kenyatta sio mjinga kiasi hicho, anajua uwezo wa jeshi la Ethiopia, hawezi kuruhusu walevi wa KDF kupigana na jeshi la Ethiopia, ndani ya wiki moja, Nairobi itakuwa mikononi mwa wahabeshi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi la Somalia halikuingia ndani ya Kenya. Bangi gani hiyo unavuta. Ebu leta evidenceHahahaha, hahahaha, hahahaha. Unadhani kwanini hao wakazi wa Mandera wanapata wasiwasi?. Hayo majeshi ya Jubaland yanasaidiwa na serikali ya Kenya, wakizidiwa wanaingia Kenya kujificha, wiki mbili zilizopita majeshi ya serikali ya Somalia yalivuka mpaka na kuwafata hadi hapo Mandera.
Muhimu ni kwamba Kenya inasaidia serikali ya Jubaland, na Ethiopia inasaidia serikali ya Mogadishu, Kenya na Ethiopia wanapigana "Proxiwa". Hao Ethiopia wanajua majeshi ya Jubaland yatakimbilia ndani ya Kenya, wamejiandaa kuwafuata ndani ya ardhi ya Kenya, KDF wakijibu mapigo ndio mtakapopata kichapo cha Mbwa koko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana hawa ktn siku hizi wanatumiwa na mabeberu kupotosha dunia Kuhusu KenyaJeshi la Somalia halikuingia ndani ya Kenya. Bangi gani hiyo unavuta. Ebu leta evidence
Al shabab wanaingia watakavyo hapo kunyalandJeshi la Somalia halikuingia ndani ya Kenya. Bangi gani hiyo unavuta. Ebu leta evidence
Mada yenyewe ni kuipiku Kenya 😂Lengo lake ni kutaka kuharibu huu uzi ili kuficha aibu ya KDF, Achana naye usimjibu. Tujikite katika mada husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya itapigwa na Ethiopia waihujumu Kenya kiuchumi, Tanzania itupiku ichukue nafasi ya pili after Ethiopia alafu Kenya ichukue position 3 ambayo ilikuwa ya Tz alafu joto la jiwe afurahi..."tumeipiku Kenya" ...bure kabisa it will never happen ni Kama kungoja Bandari ya Bagamoyo ianze Kuzinduliwa na praise team 😉Hahahaha, mumeanza kujinyea sio?, soma post yangu #17 hapo juu. Kenya haiwezi kupigana na Ethiopia, ila Kenya itapigwa na Ethiopia Kama itaendelea kusaidia na kuyaficha majeshi ya Jubaland [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuambia uache kueneza propaganda zisizo na msingi .Kama huelewi kinacho endelea Somalia sema uelimishwe.Inawezekana hawa ktn siku hizi wanatumiwa na mabeberu kupotosha dunia Kuhusu Kenya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata walishindwa 2006 na Raskamboni brigade .Ethiopia ambao walishindwa kuangamiza Eritrea one of the poorest countries in Africa?
Inawezekana hawa ktn siku hizi wanatumiwa na mabeberu kupotosha dunia Kuhusu Kenya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia going to war with Kenya is the dream of every virgin zoomali. This Will not happen.we all know #ENDF & KDF won't engage each other, but use Somali foot soldiers.Kenya itapigwa na Ethiopia waihujumu Kenya kiuchumi, Tanzania itupiku ichukue nafasi ya pili after Ethiopia alafu Kenya ichukue position 3 ambayo ilikuwa of Tz alafu joto la jiwe afurahi..."tumeipiku Kenya" ...bure kabisa it will never happen ni Kama kungoja Bandari ya Bagamoyo ianze Kuzinduliwa na praise team 😉
When are you going to graduate and get your degree of stupidity?, I think you are among few people over here with high degree of foolishness and stupidity.Nilikuambia uache kueneza propaganda zisizo na msingi .Kama huelewi kinacho endelea Somalia sema uelimishwe.
when cornered you result to insults🤣🤣🤣. Childish tantrums as usual.When are you going to graduate and get your degree of stupidity?, I think you are among few people over here with high degree of foolishness and stupidity.
Sent using Jamii Forums mobile app