Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi





This was earlier last month when SNA did search on the home of militia leader janan in doolow Somalia .they found a large stack of weapons & cash.
Kama mtu hajui kinacho endelea kwa ground aseme aelimishwe si kufungua nyuzi ambazo hata yeye mwenyewe haelewi context.
 
Wewe sasa ndio Mtu unayeuliza maswali ya maana Sana.
1)Ethiopia imeshajenga reli hadi Djibouti tena ya umeme kwa kutumia mkopo wa wachina, hakuna jinsi kwamba Ethiopia itaacha kutumia hiyo reli yao ili kupata pesa ya kulipa deni.

2)Hivi karibuni Ethiopia wamemaliza tofauti zao na Eritrea, hivyo kuifanya bandari ya Eritrea kuwa karibu zaidi kwa kutumia barabara endapo reli itapata matatizo, kwahiyo Ethiopia haina sababu wala mpango wowote wa kutumia bandari za Kenya.

3)Kenya kwa ujumla, uchumi wake upo mashakani Sana kwa sasa, uchumi wa Kenya ulijengeka Sana kwa kutumia udhahifu waemajirani wake, hasa Tanzania.

Miaka yote ya kipindi cha mwalimu Nyerere, Tanzania ilisimamisha shughuli zote za maendeleo ili kujikita katika ukombozi kusini mwa Africa, bandari zetu zilitumika zaidi kusafirisha shaba ya Zambia na mazao yetu hapa Tanzania, hasa mkonge, bidhaa za nchi zote kuanzia Uganda, Eastern DR, Rwanda, Burundi na bidhaa zote za Viwandani za Kenya(Kumbuka Kenya manufacturing Industry ilikua mikononi mwa waingereza by95%) zilisafirishwa kupitia Mombasa.

Sasa hivi hiyo hali imebadilika ghafla Sana, hasa baada ya kuingia Magufuli, Kenya imepoteza Mzigo wote wa Burundi, imepoteza 95% ya Rwanda, almost 60% wa DRC, na 30% ya mzigo wa Uganda, hii ndio sababu China wamekataa kutoa pesa za SGR baada ya kuona kwamba mategemeo ya Kenya kusafirisha mzigo wa Rwanda na DRC haupo tena, hivyo umuhimu wa SGR ya Kenya kiuchumi, umepungua Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nao hao hawa mazero brain. Mimi nashangaa kwanini hadi sasa hivi Ethiopia hawajaanza kuishambulia Kenya. Mleta mada alituambia kwamba wanajitayarisha. [emoji1] joto la jiwe, inaenda kufikia masaa zaidi ya 24, tangu utuambie kwamba mashambulizi yanaanza. Vipi antenna yako imedondoka huko Tandale au ndio kunaendaje?
 
Next am going to expound on why SNA is being withdrawn from Gedo region and shed more light on the currently ongoing operation by Amisom before their planned exit in 2021.
 
Hahahaha, chupi zimeanza kuwabana sio?, KDF sasa hivi wameanza kujinyea katika chupi zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto yako ni tamu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapeni zanzibar nchi yao bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakimbie ikiwezekana na bunduki waziache huko huko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, chupi zimeanza kuwabana sio?, KDF sasa hivi wameanza kujinyea katika chupi zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utoto huu na akili finyu, vikosi vya Ethiopia vimefika wapi hadi sasa hivi kwenye mashambulizi na safari yao ya kuingia hadi Nairobi? Wamefika Hargeisa, Habaswein au Modogashe?
 
Utoto huu na akili finyu, vikosi vya Ethiopia vimefika wapi hadi sasa hivi kwenye mashambulizi na safari yao ya kuingia hadi Nairobi? Wamefika Hargeisa, Habaswein au Modogashe?
Hahahaha, hahahaha, hahahaha, punguzeni woga, kwanini unapanic kiasi cha kushindwa kusoma na kuelewa mada kwa undani?.

Nimesema Majeshi ya Ethiopia yanasaidia majeshi ya Somalia kupigana na majeshi ya Jubaland, na ninyi Kenya huwa mnasaidia majeshi ya Jubaland. Nimeshauri kwamba endapo majeshi ya Jubaland yataingia Kenya kujificha, majeshi ya Ethiopia yatakuja kuwatafuta, kama KDF itashambulia jeshi la Ethiopia ndani ya ardhi ya Kenya, lazima Ethiopia itawacharaza KDF na ndani ya wiki moja wahabeshi watakua katikati ya Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…